Naomba uelewe kuwa CCM iko makini sana haiwezi kusimamisha watu wenye makundi yanayosigana hadharani kwani ukimchukua mmoja ukamuacha mwingine itakuwa rahisi kwa makundi yaliyoachwa kuasi chama na wataondoka na wanachama wengi au watawahamasisha watu wao wapigia upinzani.
Hivyo basi CCM imejipanga kuhakikisha wagombea wanaojipambanua kuwa wanafaa kuwa marais wakati huohuo wana makundi hawapiti CC kwenda kupigiwa kura NEC.
Hivyo kwa mtazamo wangu wanaofaa kwa CCM ni hawa hapa;
1. Prof. Mark Mwandosya
2. Peter Kayanza Pinda
3. Asha Rose Migiro
Kwa Chadema
1. Dr. Wilbroad Slaa (Phd)
Kwa CUF
1. Prof. Lipumba
Amini usiamini hivi ndivyo itakavyokuwa.
tuletee ww ambaye hana dini kabisa kwani no 1 mpaka 5 wote wanadini zao hakuna kati yao mpagani mengineyo ni chuki zako zisizo na mashiko na ww ndu mdini kwani ss hatuhitaji kujua dini zao kwetu hazina faida.
Ondoa Lowassa weka Mwandosya, ondoa T. Lissu weka Arfi
To be honest, Hon. Edward N. Lowassa ni 'golden candidate' kwa Watanzania 2015 kwa sababu ana uwezo usio na kifani wa uchapa kazi. Pia ana uwezo mkubwa wa ku-make bold decisions kwa manufaa ya taifa. Binafsi naamini Lowassa hana mpinzani katika urais 2015.
Hili ndo kubwa haya mengine ni siasa tu. Kuainisha vipao mbele vya Kitaifa naona ni muhimu sana ili rais yeyote toka chama chochote atekeleze vipao mbele hivyo. Hata wagombea wa urais washindanishwe na kupimwa kwa hivyo.Mimi nadhani ni muhimu kwanza tuweke vipaumbele vikuu vitano halafu ndio tupime viongozi kutokana na misimamo yao juu ya vipaumbele vyetu kama wananchi;1. Maadili ya uongozi, hasa ufisadi - jinsi gani atatatua tatizo lililopo sasa;2. Muungano (mfumo unaotufaa...)3. Katiba (msimamo juu ya nini kiwemo na nini kisiwemo, na kwanini...)4. Itikadi Na Dira ya Nchi (Ubepari? Ujamaa? Mwananchi wa kawaida, hasa vijijini maisha yake yataboreshwa vipi...) 5. Sera ya mambo ya nje - Je, sera yetu ni ipi? Baada ya mwalimu kuondoka, hatuna sera zaidi ya kusafiri safiri na kwenda kutengeneza marafiki; Ni muhimu tukatazama (Mahusiano na WTO, WorldBank na IMF na jinsi gani atapigania tufaidike zaidi na bila upendeleo kwenye biashara ya kimataifa - (hivi sasa viongozi wetu wakisafiri nje hawaendi kupigania maslahi ya wakulima na kutafuta bei nzuri bali kwenda kula tu posho za vikao, shopping...),jinsi gani atatatua tatizo la madeni, jinsi gani ataimarisha economic diplomacy - na nchi gani na kwanini? Role of China, USA, Iran, Brazil, tofauti na sasa ambapo tumekuwa ni shamba la bibi,dampo la biadhaa duni za nje, uwanja wa kujaribia sera za kukuza uchumi...n.kTukiwapima wagombea wote kwa vigezo kama hivi na vingine vingi tu, ndio tutajua iwapo tumepata RAIS BORA au tumepata BORA RAISOtherwise Tundu Lissu for President? Nitakuwa mstari wa mbele kwenye kampeni kumpigania;
.
- Dr W. Slaa
- Mh. F. Mbowe
- Mh. Tundu Lissu
- Mh. John Magufuli
- Mh. Edward Lowassa
NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
hapo kwenye red, sharti mojawapo la katiba ya nchi ni kuwa na angalau degree moja.
ile kesi ya kupora mke nadhani itakuwa imekwisha na atakuwa amerudiana na rose
7. Mwigulu Nchemba
Excellent! Personally am for:
Dr. W.P. Slaa OR Dr. J.P. Magufuli
Prof. I.Lipumba can make very good Prime Minister/Finance Minister. Hon. T.A. Lissu / Dr. A. Mwakyembe may serve as Home Affairs Minister.
Hon. E.N. Lowassa has nothing new, should serve as the retired PM like all retired senior officials.
Uhitaji wa Tanzania kwa sasa sio tu kukua kiuchumi, yapo mambo mengi including kudhibiti ufisadi na kuhamasisha uzalendo. Ningeendeleza list, I think Lipumba angekuwa namba 6...Tusidanganyane kama kweli tunataka tupate Rais bora anayefaa ni Prof Lipumba ili ajenge Uchumi utakaotoa ajira na kuleta Neema kwa Watanzania wote.Tumpe kura Prof Lipumba aongoze Tanzania
Zitto - katiba haimruhusuHakuna Zitto wala Membe
Naomba uelewe kuwa CCM iko makini sana haiwezi kusimamisha watu wenye makundi yanayosigana hadharani kwani ukimchukua mmoja ukamuacha mwingine itakuwa rahisi kwa makundi yaliyoachwa kuasi chama na wataondoka na wanachama wengi au watawahamasisha watu wao wapigia upinzani.
Hivyo basi CCM imejipanga kuhakikisha wagombea wanaojipambanua kuwa wanafaa kuwa marais wakati huohuo wana makundi hawapiti CC kwenda kupigiwa kura NEC.
Hivyo kwa mtazamo wangu wanaofaa kwa CCM ni hawa hapa;
1. Prof. Mark Mwandosya
2. Peter Kayanza Pinda
3. Asha Rose Migiro
Kwa Chadema
1. Dr. Wilbroad Slaa (Phd)
Kwa CUF
1. Prof. Lipumba
Amini usiamini hivi ndivyo itakavyokuwa.
Mkuu, Nadhan ulimaanisha hv
Membe Muuza suru kama kiranja wake afadhali hamjamweka.
Tunataka Raisi kauzu this time apige deki nyumba manake Jamaa kaichafua hakuna mfano. Hili Genge la wezi litasafishwa na Raisi ambaye atakuwa amechaguliwa na umma na si rais aliyewekwa na mafisadi kama nani nani. Lowasa after Candidates wa Chadema anafaa kwa sababu tu anaweza kusimama imara na hakuna gamba litakaloweza kumyumbisha manake yeye ni baba la magamba. Akiweza kufutilia mbali huu utititri wa vijimagamba basi maybe anaweza kuleta changes.
Chadema tusije tukakosea eti kwamba akisimama Lowasa ndo njia imekuwa laini. Huyu anakubalika sana msimdharau kwanza ndiye candidate ambaye atatusumbua kuliko wote. Akisimama Membe hapo ndo njia nyeupe tambarare sasa.
Ni Mtizamo tu wa kiona mbali
viroba vya asubuhi vibaya
Kazi kweli kweli na TINDU LISSU? If being that the case, why not SUGU, LUSINDE or LEMA?Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.
- Dr W. Slaa
- Mh. F. Mbowe
- Mh. John Magufuli
- Mh. Edward Lowassa
- Mh. Tindu Lissu
NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...