umewahi mapema maana nilitaka kuongeza 6.Zitto KabweNB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
6.Bernard MembeKama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.
- Dr W. Slaa
- Mh. F. Mbowe
- Mh. John Magufuli
- Mh. Edward Lowassa
- Mh. Tindu Lissu
NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa tanzania.
- dr w. Slaa
- mh. F. Mbowe
- mh. John magufuli
- mh. Edward lowassa
- mh. Tindu lissu
nb; masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
futa hao wadini na wakabila wa namba moja na namba mbili
kisha iache listi ya hao watatu tupime nani ni presidential material....
kweli ww mmakonde tena utakuwa wa nanhyanga tandahimba
hapana
wa newala
Unaropoka kila post hpa kujiongezea posho lumumba kukashfu viongozi wa CDM bila ushahid naomba MODS mumuondoe huyu m2 kwn hachangii lolote la maana ni kashfa 2 ili kutekeleza maagizo ya waliom2mafuta hao wadini na wakabila wa namba moja na namba mbili
kisha iache listi ya hao watatu tupime nani ni presidential material..
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.
- Dr W. Slaa
- Mh. F. Mbowe
- Mh. John Magufuli
- Mh. Edward Lowassa
- Mh. Tindu Lissu
NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
akili yako kama ya mkuchika sishangai.
Kwa jinsi nyufa zinavyozidi kuongezeka katika kajumba haka kanakoitwa Tanzania, ni ngumu sana mchagga, Mhaya na Mnyakyusa kushinda kinyang'anyiro cha urais nchi hii. Kuna chuki imejengeka kwa makabila haya matatu lakini hasa kwa wachagga ndio usiseme sijui chuki hii imetoka wapi ilhali Mwalimu Nyerere alijaribu sana kuhangaika na kimkakati na ubaguzi huu. Kwa hiyo kwenye hiyo list ondoa Freeman Mbowe!!