Averos JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 994 Reaction score 703 Aug 21, 2012 #1 Naoba nisaidieni kujua Wilaya Tano zinazoongoza kwa mapato ya Nchi ya Tanzania, kama nikipata source itakuwa bora zaidi. Natanguliza Shukran
Naoba nisaidieni kujua Wilaya Tano zinazoongoza kwa mapato ya Nchi ya Tanzania, kama nikipata source itakuwa bora zaidi. Natanguliza Shukran
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Aug 21, 2012 #2 Kinondoni, Rungwe, Tarime, Kahama na Mfindi
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Aug 21, 2012 #3 Mbozi,Ilala,kahama,Bariadi,Kilombero
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Aug 21, 2012 #4 Mbozi...coffee na tunduma boarder Ilala...dar centre...bandari Bariadi..pamba Kilombero..Bonde la kilombero..mpunga,miwa,samaki,umeme kahama..mgodi
Mbozi...coffee na tunduma boarder Ilala...dar centre...bandari Bariadi..pamba Kilombero..Bonde la kilombero..mpunga,miwa,samaki,umeme kahama..mgodi
M MAGUNJA JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 1,003 Reaction score 545 Aug 21, 2012 #5 Mapato yapi hasa. Ulipaji wa kodi TRA, uuzaji wa bidhaa/mazao nje ya nchi au unamaanisha nini. Nadhani haya yote ni mapato ya nchi.
Mapato yapi hasa. Ulipaji wa kodi TRA, uuzaji wa bidhaa/mazao nje ya nchi au unamaanisha nini. Nadhani haya yote ni mapato ya nchi.
M MAGUNJA JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 1,003 Reaction score 545 Aug 21, 2012 #6 Inkoskaz said: Mbozi...coffee na tunduma boarder Ilala...dar centre...bandari Bariadi..pamba Kilombero..Bonde la kilombero..mpunga,miwa,samaki,umeme kahama..mgodi Click to expand... Sina hakika kama mapato ya nchi ni makubwa hapa. Labda ya wamiliki wa mgodi
Inkoskaz said: Mbozi...coffee na tunduma boarder Ilala...dar centre...bandari Bariadi..pamba Kilombero..Bonde la kilombero..mpunga,miwa,samaki,umeme kahama..mgodi Click to expand... Sina hakika kama mapato ya nchi ni makubwa hapa. Labda ya wamiliki wa mgodi