We umevurugwa.
Timu imepata ushindi kwa kufunga.
Atletico walianza kujiangusha wao hapo dakika kuongeza nyingi muhimu sana
Madrid wamestahili na ushindi kwa sababu moja tu.....Mental strengh(psychology) ya ushindi kwa aina ya mchezo wowote ule
AT walishinda wakapaki basi
1..real madrid
2,man u
3..barcelona
Madrid wamestahili na ushindi kwa sababu moja tu.....Mental strengh(psychology) ya ushindi kwa aina ya mchezo wowote ule
AT walishinda wakapaki basi
1..real madrid
2,man u
3..barcelona
1..real madrid
2,man u
3..barcelona
Kinachoamua urefu wa muda wa nyongeza ni dakika zilizopotea, sio jinsi wachezaji wa timu mojawapo walivyochoka. Kinachomua dakika zilizopotea za kufidiwa ni muda ambao mwamuzi alisimamisha mchezo na kuwajulisha makamisaa, si utashi wa shabiki wa timu inayoongoza. Kinachoamua dakika ambazo mwamuzi anaruhusika kusimamisha mchezo kiko mdani ya kanuni, sio dhana ya shabiki aliyevurugwa na matokeo ya timu inayofungwa. Mwamuzi anapoamua kuongeza muda kinyume na kanuni, hushughulikiwa na kam ti zin zohusika, sio kutuhumiwa kwa dhana za wasiokuwa pamoja naye katika kuweka hgh u ya dakika milizpoteahatukatai madrid anajua soka ila kulikua na umuhmu gani wa kuongezewa mda wote ule refa alhshawasoma atletico kua wamechoka so mda wowote wangefungika
Ivi zile dakika 5 za nyongeza walipewa R.madrid wacheze pekee yao?ATM wangefunga goli la 2 basi kama kweli wanajua acheni wehu wamepigwa kwa upuuzi wao na walizidiwa kila kitu.
Huyo alibet AT kushinda sasa kaliwa yeye anaugulia maumivu ya buree! !
Huyu atakuwa mshabiki wa Arsenal