Top 3 ya timu zinazoongoza kwa kutafutiwa ushindi kwenye soka

We umevurugwa.
Timu imepata ushindi kwa kufunga.
Atletico walianza kujiangusha wao hapo dakika kuongeza nyingi muhimu sana
 
We umevurugwa.
Timu imepata ushindi kwa kufunga.
Atletico walianza kujiangusha wao hapo dakika kuongeza nyingi muhimu sana

hatukatai madrid anajua soka ila kulikua na umuhmu gani wa kuongezewa mda wote ule refa alhshawasoma atletico kua wamechoka so mda wowote wangefungika
 
Madrid wamestahili na ushindi kwa sababu moja tu.....Mental strengh(psychology) ya ushindi kwa aina ya mchezo wowote ule
AT walishinda wakapaki basi
 
Madrid wamestahili na ushindi kwa sababu moja tu.....Mental strengh(psychology) ya ushindi kwa aina ya mchezo wowote ule
AT walishinda wakapaki basi

Ahsante mkuu. Hii aina ya soka la kupaki basi inaharibu sana soka. Haiwezi kufanikiwa daima dawamu.
 
1..real madrid
2,man u
3..barcelona

We umelogwa sio bure, goli 4 bado unalalamika, si mngefunga nyie 4 km kweli vidume. Ndo shida ya wabongo yan hata mtu akitembea juu ya maji mtasema hajui kuogelea
 
Madrid wamestahili na ushindi kwa sababu moja tu.....Mental strengh(psychology) ya ushindi kwa aina ya mchezo wowote ule
AT walishinda wakapaki basi

Huyo alibet AT kushinda sasa kaliwa yeye anaugulia maumivu ya buree! !
 
Ile game ndio aina ya final zinazonoga sana..I wish world cup tupate games kama hizo kuanzia robo final mpk final yenyewe.
 
Pale Atletico walizidiwa kila kitu ndo maana wakapaki basi,
Real walipopata goal la equalize tu nikajua kazi kwisha
 
hatukatai madrid anajua soka ila kulikua na umuhmu gani wa kuongezewa mda wote ule refa alhshawasoma atletico kua wamechoka so mda wowote wangefungika
Kinachoamua urefu wa muda wa nyongeza ni dakika zilizopotea, sio jinsi wachezaji wa timu mojawapo walivyochoka. Kinachomua dakika zilizopotea za kufidiwa ni muda ambao mwamuzi alisimamisha mchezo na kuwajulisha makamisaa, si utashi wa shabiki wa timu inayoongoza. Kinachoamua dakika ambazo mwamuzi anaruhusika kusimamisha mchezo kiko mdani ya kanuni, sio dhana ya shabiki aliyevurugwa na matokeo ya timu inayofungwa. Mwamuzi anapoamua kuongeza muda kinyume na kanuni, hushughulikiwa na kam ti zin zohusika, sio kutuhumiwa kwa dhana za wasiokuwa pamoja naye katika kuweka hgh u ya dakika milizpotea
 
Ivi zile dakika 5 za nyongeza walipewa R.madrid wacheze pekee yao?ATM wangefunga goli la 2 basi kama kweli wanajua acheni wehu wamepigwa kwa upuuzi wao na walizidiwa kila kitu.
 
Ivi zile dakika 5 za nyongeza walipewa R.madrid wacheze pekee yao?ATM wangefunga goli la 2 basi kama kweli wanajua acheni wehu wamepigwa kwa upuuzi wao na walizidiwa kila kitu.

Umemaliza mkuu, hii ni sawa na kufungwa kisha mnadai uwanja ulikuwa na tope wakati timu pinzani nao ni watu sio kambale wala chura, kama kweli mna uwezo na muda unaongezwa ni fursa ya kufunga mabao zaidi, Atletico walikuwa na bahati tu hata goli lao halikuwa na mvuto na hawakufanya mashambulizi ya nguvu zaidi ya lile goli walilozawadiwa na Iker.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom