Top 3 ya kauli zenye changamoto kwa wa-TZ

Top 3 ya kauli zenye changamoto kwa wa-TZ

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
203
Reaction score
100
1.Mtakula nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe-Mramba
2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora-JK
3.Acheni wivu wa kike-Mr Ben

NB;tutafika tu
 
1.Mtakula nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe-Mramba
2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora-JK
3.Acheni wivu wa kike-Mr Ben

NB;tutafika tu

Ongeza na hizi; Tanzania kuna watu wana viwanda vya kutengeneza uongo-J K.
Foleni dar inavunja ndoa za watu- J K.
Nchi inapita kwenye wakati mgumu- Anne Makinda.
Serikali inalifanyia uchunguzi swala la mabilioni ya uswis- Pinda
Ukigusa maslahi ya wakubwa, utaingia matatani- Maige.
Mmiliki wa DOWANS simjui wala sijawahi kumuona- J K. Wabunge wa bunge la jioni wanatumia vilevi, akili zao haziko sawasawa- Ndugai

 
1.Liwalo na liwe,
2.wanafunzi wanaopata mimba ni viherehere vyao .jk
3.chadema itakufa ndani ya mwaka mmoja.wassira
4.maswala ya wafungwa na mahabusu hayajadiliwi bungeni by nchibi.
 
1. Wafugaji waende watokako kuvukuzwa lazima- pinda.
2. Asiyetaka kulipa sh. 500 apige mbizi- makufuli.
3. Siyo kilimo kwanza ni elimu kwanza- lowasa.
 
Kauli Murua!!

1. Ujinga ni kuendelea kufanya jambo hilohilo kwa kulirudia huku ukiamini ipo siku litatoa matokeo tofauti- Mch. Msigwa

2. Tatizo haliwezi kuondolewa kwa level ileile iliyolisababisha- Mch. Msigwa

3. Tumefika hapa sababu tumeruhusu akili ndogo itawale akili kubwa- Mch. Msigwa
 
waliochoma makanisa si waislam ni wahuni- Nchimbi
 
Daima katika mahali ambapo viongozi hawawazi makubwa juu ya wananchi wao huwa na kauli za jinsi wanavyojisikia tu pasi kuwaza uhalisia wa maisha ya wananchi wao maana wanajua kesho pia watarudi madarakani kwa rushwa bila vigezo vya msingi kuwarudisha hapo.:target:
 
"..... Unajua sikwenda direct moja kwa moja chuo kikuu" Hon Mulugo

"Atakayempinga kikwete iwe ndani au nje ya ccm lazima ATAKUFA" Sheikh Yahya Hussein

"Nitampa mh rais ulinzi usionekana" sheikh yahya hussein
 
"tumefika hapa tulipo kwa sababu ya ........na.......wa......." John mnyika
 
Back
Top Bottom