Maana nilikuwa nadhani tunaweza pata hata 1% kumbe unataka kupunguza kabisa.Ha ha ha mkuu labda huku kwenu huku kwetu labda nipunguze...maana mapenzi yametawala sana
Sent using Jamii Forums mobile app
hata hiki nacho ni kijiweMie nipo zangu kwa kitanda nakamilisha mzigo Wa kazin niliouacha kiporo,haya,mlioko vijiweni,saivi mnapiga story ipi
Sent using Jamii Forums mobile app