upo mkuuNgoja wanaokaa vijiweni waje
Nipo aseeh mkuuupo mkuu
Kama kawa Siti ya mbele ni yako mkuuNgoja wanaokaa vijiweni waje
Ahahaha aisee
e? Nani mwanamke gan ajadili mpira?
Hakuna mkuu labda vijiwe vya kina dada huku mapenzi tuu kwa kwenda mbeleHuko kwenu hamna kujadili watu?
Ha ha ha mkuu labda huku kwenu huku kwetu labda nipunguze...maana mapenzi yametawala sanaMkuu hapo kwenye mpira tuongezee asilimia
Kusikiliza kwangu tu story vijiwe tofautiHuu ni utafiti au maono?