Top 3 story za vijiwen

Top 3 story za vijiwen

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
666
(1)Mapenzi
hii ni kwa asilimia 70%

(2) mpira wa miguu
Hii ni kwa asilimia 20%

(3) siasa
Hii ni kwa asilimia 10%

Story za kumcha Mungu ni asilimia 0%

Kutokana na kupuyanga kwangu vijiwe tofauti nimeliona ili VP huko kwenu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha kweli asee
Hizo ndo zinazotrend
Nyingine hazina mzuka
Sanasana asilimia zinabadilishana
Maana vijiwe vingine ni siasa sana hasa wazee
Vingine ni mpira sana hasa
Na vingine mapenz, hivi ndo mschana akikatiza2 lazima aongelewe
Awe mzuri,mbaya, au ata wa kawaida

IQ standard
 
Vijiwe vya huku Mkoa wa Kigoma wilaya ya Buhigwe mtaa wa Munanila ni Umbea tu, sio wanaume wala wanawake. Yaani utashangaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kuna wanaume wamekaa kujadili maisha ya fulani. Huu ndio mkoa ambao nimeshindwa kuuelewa kwa kweli.
 
Back
Top Bottom