Top 3 smartest african people!

Top 3 smartest african people!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,481
Reaction score
36,632
Hii ni orodha ya nchi za kiafrika ambazo raia wake wapo smart sana katika mambo wanayo yafanya. Wanajulikana, kuheshimika na ama kuogopwa sana katika mataifa mengi ya kiafrika na yaliyo nje ya Afrika...

1. Nigerians.

2. Congolese people ( DRC)

3. Ghanaians

* Ningewaweka wa egypt kwenye nafasi ya tatu, but i consider them to be middle easterns and not Africans per se.

* Ghanaians are smart kwa sababu ya influence ya wanigerians. Wana waiga sana wanigeria and all that...

TANZANIA hatujulikani kabisa. Kuna watu wapo mozambique hapo but they dont know any thing about Tanzania zaidi ya kujua kuwa Tz ina share border na nchi yao upande wa kaskazini... Hii ni aibu sana, licha ya kuwa na vivutio vikubwa vya utalii kama vile mlima kilimanjaro, maziwa makubwa na mbuga za wanyama, stil taifa letu halijulikani.. Mwezi uliopita nikiwa Lome, Togo, niliwa interview watu kama kumi na mbili (informaly) kuwauliza if they know anything about Tanzania, wengi wao wanasema wanaijua tu kwa sababu ya herufi T, Togo na Tz zote zinaanzia na herufi T. Ninapata uchungu sana kuhusu nchi yangu. Watu hawamjui hata mtu mmoja maarufu kutoka Tanzania? iwe mwanamuziki, mfanyabiashara, mwanaharakati au kiongozi wa kisiasa? what is wrong with us?..

Nikiwa Kampala, Uganda nilimuuliza mwenyeji wangu mmoja ambaye amewahi kukaa Tanzania kwa miaka minne, akisoma pale UDSM, kama kuna hata mtaa unaoitwa Nyerere hapo Uganda, he said he dont know, nikamuuliza " Do you know Nyerere? " akajibu " YES WHY NOT?!!!" Nikavimba kichwa, wow! kumbe kiongozi wangu anajulikana..Then nikamuuliza what do u you know about him ? .. Akajibu : " I know him as a man who died in 1999, and that he copied Ujamaa Village Policy from China and prove failure! I was so so disapointed!
 
Ukiwauliza watanzania kuhusu Togo wanajua nini?Tanzania ni sawa tu na nchi nyingine ndogo kama Eritrea na Burundi si lazima waafrika wengine waijue!mlima umekuwa mlima,hata watanzania wengine wengi tu hawajui hata kama kuna milima mrefu kuliko yote Afrika unaoitwa Kilimanjaro sembuse mtu wa Togo kukijua Tanzania?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Unasema kweli mkuu? Inamaana hatujulikani pamoja na sisi kuwa wachuna ngozi za binadamu? kuuwa kote albino na kuchukuw viungo vyao haitosh na sisi kuwa maarufu? pamoja kujitahid kote kusambaza madawa kulevya ulimwenguni, bado tu?
 
No hakuna kitu kama hicho Nigerians unawasema kwa sababu wanaact sana movie zao za kukariri script na muziki wao but hawana sifa nzuri internationally wana sifa ya utapeli,ugaidi,uchawi kimataifa,these people from ghana hawana kikubwa cha kuwafanya wawe so superior,congolese usiseme nawajua sana i have alot of friends from there na nimewahi kufika na kukaa DRC hawana lolote education system yao ni international but haiwasaidii kitu,mafisadi kama wabongo 2,hawana viwanda bia wameanza kutengeneza juzi 2 tena kwa kutumia mchele hadi madaftari na cement wanaagiza kutoka bongo,mimi ninavyojua IN AFRICA THERE IS NO GOOD SO NOBODY IS SUPERIOR
 
Hujatembea Afrika wewe, nenda Burkinafaso, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Madagascar etc ulizia wakongo ni watu gani kule uambiwe.
 
Hata Tanzania tunafanya vitu hivyo, but hatujulikani hata kwa huo ubaya unao usema. So they are smart
 
Ukiwauliza watanzania kuhusu Togo wanajua nini?Tanzania ni sawa tu na nchi nyingine ndogo kama Eritrea na Burundi si lazima waafrika wengine waijue!mlima umekuwa mlima,hata watanzania wengine wengi tu hawajui hata kama kuna milima mrefu kuliko yote Afrika unaoitwa Kilimanjaro sembuse mtu wa Togo kukijua Tanzania?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Watanzania wanajua sana kuhusu mataifa mengine kaka, we angalia tu hata hapa Jamii Forums, watu wanafahamu sana kuhusu habari za watu wa mataifa mengine ya kiafrika, but they dopnt know anything about us..
 
Hujatembea Afrika wewe, nenda Burkinafaso, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Madagascar etc ulizia wakongo ni watu gani kule uambiwe.
May be mayenu lakini hawana lolote na sidhani kipimo chako cha kuwauliza waafrika wengine habari zao ndo kinakupa 100% kuwa wako smart sidhani kama kinaupa uzito unaostahili mada yako
 
Back
Top Bottom