Top 20 Most Brutal and Ruthless Dictators in Africa

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,381
81,192
Top 20 Dictators in Africa
Regardless of how they came to power, these people are regarded as the worst dictators in Africa.

The regime of most of these African dictators was marked by horror, terror, chaos and bloodshed. Some of these dictators were notorious leaders, and some have led their country towards economic prosperity while others started on the right path and lost their way.

20. Paul Kagame (Rwanda: 1994-present)

19. Zine El Abidine Ben Ali (Tunisia: 1987–2011)

18. Gnassingbé Eyadéma (Togo: 1967–2005)

17. Hastings Kamuzu Banda (Malawi: 1963–1994)

16. Gaafar Nimeiry (Sudan: 1969–1985)

15. Siad Barre (Somalia: 1969-1991)

14. Charles Taylor (Liberia: 1997-2003)

13. Yahya Jammeh (Gambia: 1994-2017)

12. Idriss Deby (Chad: 1990-Present)

11. Obiang Mbasogo (Equatorial Guinea: 1979-Present)

10. Paul Biya (Cameroon: 1982-Present)

9. Jose Eduardo Dos Santos (Angola: 1979-Present)

8. Robert Mugabe (Zimbabwe: 1987-Present)

7. Francisco Macías Nguema (Equatorial Guinea: 1968-1979)

6. Hissene Habre (Chad: 1982-1990)

5. Omar Al-Bashir (Sudan: 1989-Present)

4. Sekou Toure (Guinea: 1958-1984)

3. General Sani Abacha (Nigeria: 1993-1998)

2. Colonel Muammar Gaddafi (Libya: 1969-2011)

1. Idi Amin Dada (Uganda: 1971-1979)

Top 20 Most Brutal and Ruthless Dictators in Africa — African Vault
 
Ila Idd Amin alizidi udikteta,ile movie tu ilikua inatisha je matendo halisi yalikuwaje,jaman binadamu sie
 
Ila Idd Amin alizidi udikteta,ile movie tu ilikua inatisha je matendo halisi yalikuwaje,jaman binadamu sie
Ukishasema movie inamaana sio halisi na kumbuka hiyo movie iliigizwa ameshatoka madarakani hatujui kama ilikua kweli au kuuridhisha utawala uliokuwepo madarakani. Lakini Amin huyo huyo pamoja na udikteta wake waganda wanamsifia kua kuwawezesha waganda kumiliki njia kuaa za uchumi wakat kabla hajashika madaraka uchumi ulikua mikononi mwa wahindi.
 
Mimi na wewe hatujui ukweli wake ndio maana nimekoment kwa kutumia movie maana enzi hizo sikuwepo

Hata mugabe anayeonekana dikteta kuna watu wanamuona ni mkombozi wao kwa kuyatoa mashamba meng mikononi mwa wazungu na kuyaweka kwa wazawa.

Kagame nae wapo wanaomsifia kwa utawala bora

Back
Top Bottom