Top 10 ya list wanaoongoza kucheat ktk mahusiano

Top 10 ya list wanaoongoza kucheat ktk mahusiano

Wale wadada wabenki wakikuona unadeposits kuanzia 500k frequently hata ×2 or ×3 kwa wiki for 2-3 months wanakuchkulia uko vzr na kamwe hawatakuacha salama
 
Namba 3 nakubaliana nawewe,hata leo kama unawazaga kua manesi hawatongozeki,jaribu kuchukua namba yake,anza mazoea,hakika utaenda ukamle tena dispensary au kwenye kituo cha afya kama ana zamu ya usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I agree, bankers wadada kwa wakaka sio waaminifu, mtu ana mtu wake na unamjua kabisa ukimset sawa unakula kusaza.
 
Namba moja Kama mnatuonea[emoji28]
Top 10 ya watu wanaosemekana ni rahisi zaid ama wanaongoza katika cheat.( kutoka nje ya mahusiano) na kiwango chake %

1.Financial (Wafanyakaz wa benki. bankers, analysts) 21%

2.Aviation( Pilots, na wahudumu wa ndege) 19%

3. Healthcare (Doctors, nurses, nursing assistants) 15%

4. Business .CEOs(wakuu wa vitengo), managers, secretaries 12%

5.Sports Wanamichezo(footballers, athletics etc) 11%

6. Arts .Sanaa(wanamuzik, models, waigizaji, na wapiga picha) 7%

7. Wafanyakaz wa usiku (DJs, madancers, waiters(wahudumu wa bar) 6%

8.Habari( jonalists;waandish wa habari) 5%

9.Legal (wanasheria, secretaries, mawakili. 4%

10. Secta nyingine 2%

Source.. MenHearlth.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom