Top 10 Smart Phones in Dar es salaam


What about the Samsung Galaxy S5 and Galaxy Note 3? (these are the best phones in the world at this time)

Why aren't they in the list?
 
tecno ingekuwa no. 10 sawa lakn hapo ilipo sio. Zle simu ni hopeless kabisa
 
Tha' Don hujasema duka lako lipo wapi......?naona hii imekaa km promo promo hv
 
Nashukuru kwa kuniongezea ujuzi mkuu ingawa data za wiki si za kuamini sana. Huwa mtu yeyote anaweka anachokijua. Mi nilipata data hiyo mtandao wa Nokia wenyewe. Nimeshindwa weka link natumia ya tochi.

Haya basi angalia kutoka gsmarena...

All Nokia phones
 
Inategemea wewe una-hang around na watu wa caliber ya aina gani.., so siwezi kukupinga.., quality is also a criterion.., si popularity tu..

Kwani kwenye hyo list ulikuwa unatumia criteria gani?

Hata ukisema u-hang out na wenye pesa, Iphone 5s hazipo common sana sawa na Nokia Lumia.

Wengi ya wenye pesa wanatumia Galaxy Note 3
 
Nokia E66 nilidhani ipo kwenye list. Majanga
 
Kwani kwenye hyo list ulikuwa unatumia criteria gani?

Hata ukisema u-hang out na wenye pesa, Iphone 5s hazipo common sana sawa na Nokia Lumia.

Wengi ya wenye pesa wanatumia Galaxy Note 3

really??!!
 
Wapi Nokia X, simu ya ukweli sana hii wajameni tena bei ya kawaida kabisa ha ha ha
 
cm ikashakua na line mbili kwangu naiona km hainafai vile mana cdhan km kuna umuhimu kwangu wa cm moja kua na minara miwili. 4what??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwani kwenye hyo list ulikuwa unatumia criteria gani?

Hata ukisema u-hang out na wenye pesa, Iphone 5s hazipo common sana sawa na Nokia Lumia.
Wengi ya wenye pesa wanatumia Galaxy Note 3
Sasa naanza kuelewa ni kwanini CCM haiwezi kumridhisha kila mtu...
 
hizo high end mnavoziweka, safi naona wabongo siku hizi wanacheza na high ends... software ntakayorelease app store basi kumbe itapata wateja...
ila i still think wengi wanachezea techno.. my guess sababu ndo naona zinapigwa sana kelele humu JF...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…