Top 10 Poorest States in USA

Top 10 Poorest States in USA

... huo umasikini ni kwa viwango vya US ukumbuke hilo. Kwa mfano, Mississippi imetajwa hapo; mwaka 2017 hilo jimbo lilikuwa na GDP ya USD 115.749 bilioni wakati Tanzania (kama nchi) ilikuwa na around USD 57.9 bilioni. Hizi takwimu lazima zisomwe kwa umakini na tahadhari kubwa.
Tanzania 2018 ina ndio ilikuwa na GDP USD 56billion . Nafikiri Tanzania ilimlazimu na GDP ys usd 52 billion
 
Akili yako haijui kitu... Umasikini wa US, sio huu wako wa hapa bongo.. State with the lowest GDP in US, ni sawa na GDP ya TZ mara 23...!! Likewise GDP per capita ndio kabisaa usiguse, for lowest state economy ni around $ 26,000 per year, while US GDP per capital nation wide is $ 62,196.7 per year.. Sasa Tanzania GDP per capita is around $ 936.2 per year..!! Umasikini wa US, acha sio huu wako wa bongo, hujui kabisa nn ume copy na ku paste tu...!!

Umeenielewa lakini ww usie na akili hata kidogo..!! Ndio maana nimesema huna akili kabisa..!!
😀 😀 😀 ,Ametoa maoni yake tu mkuu,sidhani kwamba hana akili.
 
Back
Top Bottom