hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,538
Kisichoeleweka nini? Sensa ya mwaka 2012, mkoa wa Dar es Salaam ulikadiriwa kuwa na watu million4.5, sawa na (at least) asilimia 10 ya watu wote wa Taifa la Tanzania. Msikiti wa Makkah, huo Muharram unaweza kubeba watu million4 kwa Ibada kwa wakati mmoja. Itakumbukwa msikiti ni tofauti na nyumba zingine za Ibada, ambapo msikiti inajumuisha jengo lote(indoor worship area) na eneo lake la nje( out door worship premises) hivyo maeneo hayo ukiyajumlisha ndo unapata uwezo wa msikiti( masjid/ mosque capacity).
kwahiyo upo msikiti kati ya hiyo wenye uwezo wakuchukua watu million 4 hapo??? au million 1 ndo 4.