Top 10 most beautiful mosques

Faiza FOX, najihisi nami nina bahati kwani nimeshaswali katika misikiti4 kati ya hiyo 10.

Ngekewa tena ukose bahati! itakuwa si Ngekewa. MashAllah. Mwenyeezi Mungu akupe uwezo wakuiona na kuswali katika yote hiyo kwa furaha na amani.
 
Dada FF, kwa hapa Tanzania, kwa uzuri tu ( siyo kwa ukubwa) kuna msikiti mmoja pale Upanga( siujui kwa jina, ila nasikia unafadhiliwa na Oil Com,) kiukweli ni mzuri sana. Ama pale Kariakoo, msikiti wa Mtoro ni mzuri sana.

Masjid Maamur - Upanga Dar.


 
sijui ni kwamba sijakuelewa ama vipi em rudia! kwanza unajua Dar inawatu wangapi!

Kisichoeleweka nini? Sensa ya mwaka 2012, mkoa wa Dar es Salaam ulikadiriwa kuwa na watu million4.5, sawa na (at least) asilimia 10 ya watu wote wa Taifa la Tanzania. Msikiti wa Makkah, huo Muharram unaweza kubeba watu million4 kwa Ibada kwa wakati mmoja. Itakumbukwa msikiti ni tofauti na nyumba zingine za Ibada, ambapo msikiti inajumuisha jengo lote(indoor worship area) na eneo lake la nje( out door worship premises) hivyo maeneo hayo ukiyajumlisha ndo unapata uwezo wa msikiti( masjid/ mosque capacity).
 
Hata ule wanaofuturisha pilau na nyama pia haupo..?..nina mashaka..
 
Usilo lijua ni kama usiku wa giza, nani ka kwambia kuwa kuna uhasama katika uislamu na CIA?

Sijasema kuwa kuna uhasama kati ya Uislamu na CIA. Niliuliza kuwa CIA wana kazi gani ktk misikiti.
 
top ten mibuyu na makaburi kwa side tusio fata dini za kimapokeo nitapataje?
 
Usilo
lijua ni kama usiku wa giza, nani ka kwambia kuwa kuna uhasama katika
uislamu na CIA?

Mkuu TECHMAN, ni kweli sielewi.
CIA ni chombo cha ki-intelijensia cha Wamarekani; so ninafahamu kuwa Marekani na ISLAMIC WORLD mahusiano si mazuri. CIA inafanya nini kule?
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy Thank you for this thread. The art and design of these mosques is very beautiful.
 
Last edited by a moderator:
Ngekewa tena ukose bahati! itakuwa si Ngekewa. MashAllah. Mwenyeezi Mungu akupe uwezo wakuiona na kuswali katika yote hiyo kwa furaha na amani.
Inshalla! Hata hivyo ndugu yangu kila muislamu akitumia uwezo wake ana uhakika wa kuswali misikiti miwili kati ya hiyo iwe kwa umra au Hijja.Mungu akujaalie utie nia na atakupa uwezo wa kufika huko!
 
Inshalla! Hata hivyo ndugu yangu kila muislamu akitumia uwezo wake ana uhakika wa kuswali misikiti miwili kati ya hiyo iwe kwa umra au Hijja.Mungu akujaalie utie nia na atakupa uwezo wa kufika huko!

Amin, AlhamduliLlah Makkah na Madina nimefika na dua yako iwe ya kheri niende tena na tena na tena, hainishi hamu ya kuwepo huko. Nawaombea na wote Mwenyeezi Mungu awapeleke kwa salama na amani.

InshaAllah nia yangu Mwenyeezi Mungu akinijaalia safari hii nataka niende Umrah nikimaliza niende ziara Masjid Al Aqsa.
 

MashAllah Allah is great
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…