State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 617
- 1,441
Ivi Na Robot EUNICE atakuwepo kwani?? π€π€
Hawa sio marobot, bali ni picha za AI za warembo mkuuIvi Na Robot EUNICE atakuwepo kwani?? [emoji855][emoji855]
Sura kama uyoga..
Ahhah okay Sawa Sawa mkuu, nilihisi yale Elon Musk[emoji23][emoji23]Hawa sio marobot, bali ni picha za AI za warembo mkuu
huyu ni miss AI wa mchongo
AahaaaaaIvi Na Robot EUNICE atakuwepo kwani?? π€π€
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipi yule robot wa Tanzania asiyejitambua akili?
Unataka kusema tumeuza bandari na kununua robotEunice wetu amepita bila kupingwa
Kusalimia wabunge/wabonge.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kazi yake ni nin hasa?
Roboti ΓUnataka kusema tumeuza bandari na kununua robot
ππππππRoboti Γ
Mwanasesere mkubwa =
Anaongelea tumboniππππππ
Lakini nasikia anaongea
Anaongea au anaguna/anagunishwa baada ya dakika moja ya mahojiano?Ma-tpees wale!ππππππ
Lakini nasikia anaongea