Okey! Sawa sawa...
St. Paka Mweusi wanadamu wanadhani ndoa imara ni ile iliyogharamiwa mamilioni kwa mamilioni. K ni ile ile tu. Period.
Madame B omba Ben Saanane asinione hapo juu, utakuwa ndo mwanzo wa wewe kulamba BAN kwenye relation naye.
Ungejua navyokutamani wewe,ungemuhurumia Ruttashobolwa......
Hahahahaha.........eti K ile ile.
Nyingine chungu bhana.
Mi namhurumia @st paka mweupe.
Hujui imeandikwa usitamani mke wa jirani yako?
Ungejua navyokutamani wewe,ungemuhurumia Ruttashobolwa......
Hahahahaha.........eti K ile ile.
Nyingine chungu bhana.
Hahahahaha.......... Ben Saanane hawezi kuniacha kamwe, Kwanza unafikiri mimi naachika, Ah..........wapi.
Muulize hata YNNAH.