englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hata ifungiwe mwezini au hata ihudhuriwe na marais wote duniani na wafalme wote duniani, kile unachotumia hakina tofauti na anachopata ndg St. Paka Mweusi aliyefunga ndoa ya mkeka na mkewe St. Paka Mweupe.
Sana sana ni mbwembwe tu.
Asante baba...waambie hao....
miss u too honey Ruttashobolwa
unapotea sana
Ungejua navyokutamani wewe,ungemuhurumia Ruttashobolwa......
Asante baba...waambie hao....
Nami nawapenda sana waume zangu.
Chimbuvu, Ben Saanane, tedo na aliyewahi kuwa mtalaka wangu Arushaone.
Nami nawapenda sana waume zangu.
Chimbuvu, Ben Saanane, tedo na aliyewahi kuwa mtalaka wangu Arushaone.