Top 10 'Husband Material' Names

Nashukuru mama, najua wewe great thinker ndio maana nilikuita unisaidie kujibu.
Sawa mwenyekiti wa tume ya usimamizi.

Angalizo limepokelewa.
Linachukuliwa kama changamoto.

Haya, Dondosha taratibu form zinapatikana wapi? kwako ama Jimboni?

Pili, Kama mwenyekiti mkasimiwa,
Unayo kazi na jukumu la kulielekeza Jimbo kuwa maendelea hayaji kwa Pupa hivyo,
Jimbo bado ni changa hili.
Toka lini Katavi ikashindana na Kinondoni?
 
Tafiti nyingine mnafanyia wapi jamani??? Hakuna jina husband material kama langu rudia utafiti, huo umeufanyia marekani peke yake. Zunguruka utuletee jibu sahihi acha kudanganya
 
Katika hayo majina... kuna majina matatu hapo ya jamaa zangu.. ni hovyo balaa! Ni vilambi wa kutupwa!
 
Teh me Nipo hapa na kichinjio, asipomeet vigezo namkata tuuu
Woman is that a threat?
Una Kikatio? Usijisahau kama ccm,
Ukinikata nahamia ukawa.
Chitutakuwa dulo hapo ama?
Shauri yako unajichelewesha hujui tu.
 

Hili jimbo halisubiri maendeleo, linataka maendeleo ya ghafla, hayo ya kusubiri mpelekee lowasa.
 
That aint enough!! Until you put a ring on it, you hv no right to claim me, now you get it? kwahiyo i'll be single until then.

Goes out to all brothers making moves. Y'all already know what it takes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…