Top 10 'Husband Material' Names

worldboss usipate taabu mie huwa single daima, until you hv rights to claim me.
sasa mbona tushaanza kudangany'ana jamani, yani wewe na urembo wote huo uniambie we singo geli? weniambie tu kama tupo wengi kama utitiri wa siafu.
 
Last edited by a moderator:
sasa mbona tushaanza kudangany'ana jamani, yani wewe na urembo wote huo uniambie we singo geli? weniambie tu kama tupo wengi kama utitiri wa siafu.

We wasiwasi wako nini sasa? Mwenye kisu kikali ndio mla nyama, we jua niko single hayo mengine niachie mwenyewe, kazi ni kwako.
 
Hahahaaaa!! Hebu soma upya nimeandika "majina" sio watu wanaoitwa hayo majina, hope umenielewa sasa.
Bila shaka basi mojawapo ni jina langu,
Jongea basi 'Pande za Bustani ya wazi mjini PM ya JF' ili nizindue rasmi
Kampeni za kulinyakua jimbo la Huba lako adhimu.
 
Bila shaka basi mojawapo ni jina langu,
Jongea basi 'Pande za Bustani ya wazi mjini PM ya JF' ili nizindue rasmi
Kampeni za kulinyakua jimbo la Huba lako adhimu.
Heaven Sent unaweza kunijibia huyu mtu tafadhali?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha watu na nyota zenuuuu. Jamani dalalitz chukua tu form utangaze nia. Ila make sure wallet yako ni ndefu na nene. Mpambano ni mkali sana maana watangaza nia Mpo wengiiii

Nashukuru mama, najua wewe great thinker ndio maana nilikuita unisaidie kujibu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa nakuaminia mama, Eli79 atakusaidia ila ana fitna na mie yule hachelewi kunipa kimeo.
Hahahha yule atawakata tu wote ili ukose kabisa, si Unajua bado anakupenda penda
 
Last edited by a moderator:
This must be a crazy survey why no PETER the best name ever head.
 
Kwa hiyo majina ya kina seurii, akwii, babuu etc hayapogo huko kwa watafiti eeh?
 
Mke wangu hawezi kukubaliana na kitendo cha jina langu kukosekana kwenye top 10.
 
Hahahaaaaa nakuaminia mama, Eli79 atakusaidia ila ana fitna na mie yule hachelewi kunipa kimeo.

Jioni nitakuja kukusomea Ile post ili tuelewane. Ole wako usiseme asante!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…