CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Warusi wako juu sana kwa ishu ya siraha imara, marekani wana bajeti kubwa sana ya kijeshi lakini katika ishu ya siraha, i hope urusi bado wanatisha sana.
Na hata mkataba wa kupunguza siraha uliasisiwa na maerkani baada ya kuona amezidiwa na mrusi
Na hata mkataba wa kupunguza siraha uliasisiwa na maerkani baada ya kuona amezidiwa na mrusi