ndo tu nimeletewa sony xperia z1, camera 20mp siioni humo ina maana nimeshaibiwa?.
Ha ha ha
ndo tu nimeletewa sony xperia z1, camera 20mp siioni humo ina maana nimeshaibiwa?.
Bila kuitaja Tecno phantom A+ sijakuelewa. It is extra or finally
Hizo list za zamani sanaTeh teh teh teh,inabidi watuwekee list yetu maalum ya simu za mchina za maana za bei poa lakini zosizotofautiana ktk utendaji na zenye majina
sumsung au samsung?
Wapi simu yangu Siemens S25??????
Simu imekaa tangu 1994 hadi leo inadunda na kundika.
Hizo android zenu hazivuki hata miezi mitatu batani na screen zinaacha kufanya kazi
Hii ni HTC One na sio HTC one xWaoh my HTC ONE X
Ila kizur hakikosi kasoro
Haikai na charg kabisa,,,,,,kila siku lazma uicharg!!
Bila kuitaja Tecno phantom A+ sijakuelewa. It is extra or finally
hizo sim zinazotengenezewa chooni ulitegemea ziwepo kwenye hii list? Andress ya kiwanda cha Tecno kilipo haijawahi kuonekana
hizo sim zinazotengenezewa chooni ulitegemea ziwepo kwenye hii list? Andress ya kiwanda cha Tecno kilipo haijawahi kuonekana
Sina iman na list ya mleta mada
Embu mleta mada asome hii list ya octoba 2013
TOP 20 SMARTPHONE UPDATED OCT 2013
Design ya simu hii na user interface ndo inazifanya simu nyingine zisitie mguu, ingawa sikubaliani na list ya simu but htc one deserve to be in number 1.Mkuu, pia hii link uliyotoa imaonyesha HTC ONE imekamata namba moja. Kitu kikubwa kinachoifanya hii simu iwe juu, pamoja na vigezo vyake vingine ni hii Case yake ya Aluminium.
Mkuu, pia hii link uliyotoa imaonyesha HTC ONE imekamata namba moja. Kitu kikubwa kinachoifanya hii simu iwe juu, pamoja na vigezo vyake vingine ni hii Case yake ya Aluminium.
Ntolee ushamba hapa