Top 10 Best Airports in Africa

Top 10 Best Airports in Africa

Harare, Jberg na Capetown hizo walijenga wazungu ndiyo maana ni nzuri. Tangu nchi hizo zipate uhuru hawajajenga airport hata moja.
Mkuu Durban kuna uwanja mpya umejengwa kipindi vha kumbe la dunia.
 
siku moja nilipita uwanja wa songwe nilikuta manyanyasi yamewaka moto wazima moto nikakuta ndio wapo kuhangaika kuuzima.
nikasema kwa mangira yale gaidi akitaka kufanya uharifu ile nafasi anaweza kiitumia vizuri na nikasema kwa mfano kwa bahati mbaya muda ule ndege ndio ingekua inatua ingekuwaje sii ingewaka moto kwasaba na siku ile upe ulikua ni mkali sana.

na nikasema majanga kama yale inabidi kuyazuia mapema sio siku ya siku tatizo limetokea wanaanza kijifanya wanaharaka.
 
Harare, Jberg na Capetown hizo walijenga wazungu ndiyo maana ni nzuri. Tangu nchi hizo zipate uhuru hawajajenga airport hata moja.
Capetown imetanuliwa sana
..siyo hiyo unayosema ya zamami
 
Back
Top Bottom