Top 10 Best Airports in Africa

Top 10 Best Airports in Africa

Harare, Jberg na Capetown hizo walijenga wazungu ndiyo maana ni nzuri. Tangu nchi hizo zipate uhuru hawajajenga airport hata moja.
Nimefika harare airport miaka chache iliyopita, nakwambia terminal mpya na poa sana. Mugabe amelijenga mwaka 1999 waliniarifu huko. Sijui unazipata habari zako wapi.
 
Nimefika harare airport miaka chache iliyopita, nakwambia terminal mpya na poa sana. Mugabe amelijenga mwaka 1999 waliniarifu huko. Sijui unazipata habari zako wapi.
Anajaribu kukuondoa kwenye hoja na sababu ni kuona aibu kwa sababu uwanja wao haupo kwenye top 10
 
na ss tutajenga ngoja tununue ndege kwana za serikali tusije jenga vieanja halaf hatuna ndege
 
Durban sijaafiki kwani naona ina kiwango cha chini ka ya kwetu bongo dar
 
Mh na wasi wasi na hii taarifa
Cairo International Airport ni mzuri aisee
Na Jomo Kenyatta International Airport je???
Entebe???
 
mh nina wasiwasi na vyanz vyako vya taarifa yaani hadi Entebe unataka uingie TOP 10?

endelea kutafuta labda utavikuta top 20
Mh na wasi wasi na hii taarifa
Cairo International Airport ni mzuri aisee
Na Jomo Kenyatta International Airport je???
Entebe???
 
Hiyo nafasi ya Kigali ilitakiwa kuwa Jomo Kenyatta
 
Back
Top Bottom