Top 10 African countries with the most internet users

Ila YouTube, video za wasanii Tanzania zimepitwa na South Africa+ Nigeria tu. You see how contradicting hizi stats zipo.
 
Ngai mwathani!!!!! Hiyo ni soko ama ni nini? Watu wanajazana kwa 14 seater ni kama orbit.
 
Mnadanganywa. Leteni statistics tuone. Nimeaangilia watu famous Kenya hata followers wao ni utopolo tu.

Linganisha kenya na tanzania

Mnadanganywa sana na mnadanganyika
 
Internet Tz Ni ya umbea hapa Kenya Ni ya kufanya kazi.
 
KE: 99% of the population
UG: 40% of the population
TZ: 38% of the population
 
Ila YouTube, video za wasanii Tanzania zimepitwa na South Africa+ Nigeria tu. You see how contradicting hizi stats zipo.
na hao tunachapa gape kwa speed within one nigh views.

mkenya anakwambia wao wako twitter, wanatumia internet kwa mambo ya msingi tu
.

katika hiyo video tz imepanda chart kwa haraka sana kwa miaka 6,tunakwenda kushindana na ndugu zetu wanigeria kule waliko.
 
na siku moja inafika 120% of the pop,hapo ndio utajua uongo hutumia njia fupi kila sehemu
.
Siyo uongo chief. inawezekana hata kufika 1000%. User mmoja anaweza kuwa identified multiple times.
 
Sasa uko na status ya middle income mwaka wa 7 na huna modern bus stand hata moja.
Afadhali ungeringa na vitukama barabara, stendi moja ya bus sio kitu cha kuringa, ni kama vile mimi niseme Tz hamna mall kubwa kama TwoRivers
 
Afadhali ungeringa na vitukama barabara, stendi moja ya bus sio kitu cha kuringa, ni kama vile mimi niseme Tz hamna mall kubwa kama TwoRivers
stand moja ya bus ipi??,sisi tuna stand moja ya bus
!!!!.

hata hizo barabara ni sehemu ya miundombinu kama hizo stand za buses.kama mnajenga malls kubwa kubwa na mnaacha stand za magari hii ni kukosa dira kama vipepeo.

eti jiji lililoendelea EA
 
Hebu niambie mna standi ngapi za bus, na ulete na picha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…