Toothpic factory

Toothpic factory

Nawaza kuwa na ka factory kakutengeneza toothpics any idea?

Kama ningekuwa mimi ningeenda google nikatafuta jinsi ya kutengeneza toothpick, kisha ningeenda youtube nijifunze wanaotengeneza wanatumia njia gani ambazo ntaona kwangu itakuwa rahisi kuanzia kutokana na mtaji wangu, pia ntaangalia malighafi za kutengenezea toothpick zinapatikana wapi kwa urahisi, ugumu wa kazi na mambo mengine, then mengine yanaweza kufuata
 
Back
Top Bottom