Kama sijakuelewa swali laki na hitaji lako mkuu.
Kwanza wewe ni fundi kweli au.maana napata maswali kama unataka kufungua gereji harafu hujui spana unazotakiwa kununua.
Unataka kufungua gereji ya kutengeneza nini.utakuwa una deal na magari ya aina gani na unatengeneza nini.
Kwa haraka haraka nunua kuanzia spana namba 8 mpaka 24.
Hapo kuna aina nyingine lazima uchanganye ununue namba hiyo hiyo zaidi ya moja.mfano 12 fix,box,na ring.
Kama unaweza nunua tool box complete utapata vitu vyote mhim.
Kama unaeleke kiwanda cha cocacola kuna duka la spana kubwa hivi utazipata kwa bei nzuri