Too good Looking to get a boyfriend

Mbele ya pesa?
 
Mwenye vyote awe disminder wa attention za kitoto labda itakuwa mzuka. Sasa we demu mzuri af beki hazikabi patakalika hapo? Kila anaeomba namba unampa ikiwa unajua atakutongoza tu na upo kwa uhusiano na mtu tayari kama si kujenga mtafaruku ni nini?

Extrovert mnazidi kutisha wenzetu wenye ma beauty queens...lol
 
Tehe!, kumfikiria yeye tu kama hawa dates wake aliwapata, mwenyewe anataka kuongea ya maana wao wamekalia kumsifia tu mpaka anaboreka.
sasa hayo ya maana anayoyataka ndo yanatushindaga... mtu anataka nimjengee ghorofa... anataka pafyumu na nguo za washngton DC bado anakwambia mboga za majani zinamsumbuaga tumbo... hapo wewe muuza genge... kwann usijibu kwa kumuambia we mzuri..!!!
 
Hahaha!, jamani eti lazima umwambie wewe mzuri. Kumfunga mdomo tu...lol!
 
Kwa taarifa yako akiwa mweusi hatamniki kwa midomo yake na pua huzo
 
Usikute huko kuwa na wasiwasi sana kwenu ndo kunasababisha hata mwanamke nae asijiamini vizuri au awe na over confidence ya kuanza kuangalia nje.
Nikuambie kitu dada, wivu ni kitu ambacho kinatokeaga tu ukiwa na hisia kali na mtu umpendae. Kuna tabia ambazo huzalisha wivu automatically mfano mpenzi wako anapojiweka vulnerable kwa manyang'au. Binafsi mwanamke mzuri inabidi aijue mipaka yake sasa kama anapenda attention tu atakuumiza na wivu maana yeye atataka kila mtu amsifie wengine huishia kumtaka kimapenzi. Haiwezekani wote akawanyima pia!

Ndio maana nawazimiaga sana mademu independent wale wanaojiamini. Humkuti anaongozana na mashosti ama group za kijinga jinga yeye yupogo mwenyewe tu.
 
Good... umefafanua vizuri. Mwisho wa siku is not about sura... lakini ni je mwanamke mwenyewe anajielewa.
 
Extrovert mnazidi kutisha wenzetu wenye ma beauty queens...lol
Beauty queen safi, mi nshakuwaga na demu mkali sana na nilikuwa nainjoy tu maisha bila stress. Hana makundi first anajiamini plus plus akiwa na mimi tu. Hatoi room kwa mtu yeyote baki in or out of my presence kumtongoza and very good at ignoring attention!
 
Unayosema ni kweli kabisa,
Lakini wanawake wenye uwezo wa kuwa na msimamo wa hivyo ni wachache mno!

Tunavyozungumza tuna uzoefu wa kutosha kabisa,
Wanawake aina hiyo labda kwa kupotezea mda tu si wa kufanya nao malengo ya mda mrefu.

Labda ikiwezekana uzalishwe mara kadhaa inaweza kusaidia kidogo au akishazeeka tu.
 
Umeongea point sana mkuu kula like yangu
 
Ext. Ni kweli msimamo wa mtu unachangia kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama anatongozwa na wanaume 50 kama ana msimamo imara na mtu wake hatajiweka vulnerable kwa kutaka attention ya kila mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…