Too good Looking to get a boyfriend

Uko sawa, ni watu wamemwambia.

Haha!, Nakumbuka hizo, wakaka ni shiider! [emoji28]
Ndivyo walivyo hawa bwana. Ila uzuri upo machoni pa mtu so tusiwabishie maybe wao wanamuona mbaya.

Yaani watakuchambua kuanzia unywele hadi kisigino, hadi upotelee cha moto umekiona.
 
Duuuuh!! Sasa mpewe nini jamani!! Wakiwa wazuri mwawatoa kasoro rundoooo, wakiwa wenzangu na mie tena taabu ndo twaambiwa tumefanana na babu zetu wazaa wajomba basi ilimradi tafrani!!!
 
Duuuuh!! Sasa mpewe nini jamani!! Wakiwa wazuri mwawatoa kasoro rundoooo, wakiwa wenzangu na mie teana taabu ndo twaambiwa tumefanana na babu zetu wazaa wajomba basi ilimradi tafrani!!!
Wanaume tunahitaji Mwanamke Mwenye Hekima Na mwenye Kumuogopa Mungu Anayejikeep Natural From God No,Makeup.. Means no mambo Mengi Yani
 
Sasa mbona mnaoa hao natural sijui no make up, ana hofu ya Mungu alafu mnakwenda kuchepuka na wenye hizo make up nk!!!
Wale Ni washereheshaji Tu Wa Macho But Hawafit Ndani Na
Kuchepuka Inawezekana Ikawa ni Tabia Ya Mtu Yani Yuko Hivyo Kutokana Na Makuzi Aliyopitia Mpaka Kuingia Kwenye Ndoa
Mwanamke Akishakua na Hofu ya Mungu ni Vigumu sana Kwa Mwanaume Kuanza Kuchepuka na Hao wenye Make Up Nk'

.."father G" the Golden Boy...
 
Muonekano sio shida, shida tabia na sometime unaweza kuwa na mionekano mzuri kumbe ng'onda A.K.A kimama Ragji
 
Wewe wasema!!
Kwani hautaki mkeo ashereheshe macho yako? Mwapenda huku hampendi!!!
Ni vile tu hamjui mwataka nini.
Na mkumbuke tu hofu ya Mungu apaswa kuwa nayo kila mmoja sio mwanamke tu. Msijisahaulishe hilo.
 
Hahahahaha, hio ndio inatakiwa sio mnajitia bab kubwa eti. Ukipewa hi itikia freshi apo mpango mzimaaaa!!! Tunakubali kishenzi ila ukizingua za uso tu
 
Umemaliza kila kitu mkuu!..kuna mwenye swali jingine?.
 
Hahah!, cheupe alikuwa mrembo mara wakamgeukia kuwa rangi ya mkorogo. 😀
 
Ndivyo walivyo hawa bwana. Ila uzuri upo machoni pa mtu so tusiwabishie maybe wao wanamuona mbaya.

Yaani watakuchambua kuanzia unywele hadi kisigino, hadi upotelee cha moto umekiona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujumbe unakuwa umekufikia kimya kimya.

Heheh!, ni shiider hawa watu..
 
Vere fani, too beautiful to get a boyfriend yet she's arleady been knocked up, she's a BIMBO if you ask me!
 
Wewe wasema!!
Kwani hautaki mkeo ashereheshe macho yako? Mwapenda huku hampendi!!!
Ni vile tu hamjui mwataka nini.
Na mkumbuke tu hofu ya Mungu apaswa kuwa nayo kila mmoja sio mwanamke tu. Msijisahaulishe hilo.
Sawa Dada Lakini Ndoa Si Ukomo Wa kila Kitu Tamaa, na Wivu Kwa Wanandoa Ni Lazima Viwepo Ila Vikizidi Ndo Uchepukaji Unaweza ukatokea Ila Wanaume Kwa Ujumla Sijui Tunataka Nini Kwenu Aisee.

.."father G" the Golden Boy...
 
Sawa Dada Lakini Ndoa Si Ukomo Wa kila Kitu Tamaa, na Wivu Kwa Wanandoa Ni Lazima Viwepo Ila Vikizidi Ndo Uchepukaji Unaweza ukatokea Ila Wanaume Kwa Ujumla Sijui Tunataka Nini Kwenu Aisee.

.."father G" the Golden Boy...
Bora umesema hamjui mnataka nini. Case closed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…