Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,817
- 5,403
Ijumaa hii,25 feb 2022 wanarudiana tena..ikumbukwe pambano la kwanza Tony alipigwa. Sasa sijui safari hii anatuwakikisha vipi Watanzania
ilikuwa bahat mbayaDogo alikera sana mashabiki kwenye mchezo wake uliopita. Yaani alikuwa anaongoza kwa point kwenye raundi 11, halafu raundi ya mwisho anakuja kupigwa KO!
Yaani mpinzani wake alikuwa anaruka ruka tu kama panzi kwenye raundi zote 11! Halafu ghafla, dogo akazidiwa maarifa na kupoteza pambano!
Binafsi hata sina hamu ya kumuangalia kwa mara nyingine.