Muone huyu hapa kadai atume picture,hii ilikuwa 2009 huyu mleta mada kama kipindi kile alikuwa aged 25 sasa ivi atakuwa 33 na watoto kadhaa sasa zile sifa alizoziainisha pale juu leo atakuwa nazo kweli

Huyu mwanammaa namuelewa sana kwakweli. Alifanya collabo na mtu mzima Trey Songz .Track inaitwa Yesterday...Dammmmmh..!! i love that jam.The way walivyokuwa "wanatambaa" na sauti zao kwenye ile track na chemistry yao ilikuwa LIT.