Tongoza kistaarabu

"Treat her like a lady" hii ndio mbinu niitumiayo unang'oa mpaka hao classy.
 
mi nishangaa hayo mapenzi yenu mpaka mwanaume anshawish wanamke amini nawaambieni mapenz ya kwel na ya dhati huja tu c mpaka umwongopee yoote hayo haijawahi tokea tu unajikuta kwenye mpnz na msichana tu

Is this applicable recently?
Watu wamebadilika sana siku hizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…