Yaani utatongoza mpaka ulimi uote sugu,hupati ng'o!!!

Anajua cha kufanya!Sasa atumie mbinu gani ili afanikiwe ?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
^^
Ha ha mpaka aambatanishe Mpesa!
^^
Mimi huwa namshangaa mtu anayetaka kutongoza anaanza kwa kuuliza kama una boyfriend.....inakuhusu nini? We mwaga sera binti ndo anajua.....jibu utalipata ktk kukataliwa au kukubaliwa...

[/B]
Hahaaaaa!!!
Hiyo umesema wewe best,sikujua MPESA ina speed up kukubaliwa!!!!
Yeah..ni vizuri kuanza na swali hilo. Kwani Huwezi jenga palipojengwa bila kujua kama pamejengwa.
Ww si unapenda kupandanisha kontena
Njoo na wewe nikupandanishe...
Sidhani kama ningesubiri umalize best,ndefu mno!!!^^
Ha ha ha, zile ngonjera za, unajua Eni,, kwako sina namna, nimezama kwako, siwezi kusema, pozi lako la mkono shavuni haliishi ndotoni, Umbo lako zuri kama Miss Malaika, nipe nafasi basiii... (ngonjera hizo, bado zinafaa kweli?)
^^
Mimi huwa namshangaa mtu anayetaka kutongoza anaanza kwa kuuliza kama una boyfriend.....inakuhusu nini? We mwaga sera binti ndo anajua.....jibu utalipata ktk kukataliwa au kukubaliwa...
Sina mchezo huo mm...mambo ya kuja kuuziwa mbuzi kwny gunia sitaki