Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 633
- 1,119
Kweli mkuuKiba namkubali sana lakini nahisi atakuwa mchawi yule jamaa kwa anachomfanyia huyo dogo!
Tommy yupo chini ya kiba anatoa ngoma tamu kabisa chakushangaza ndani ya siku tatu haijaingia hata kwenye trending videos
Huyo boss wake tangu apost inavyotoka kaingia mitini, Kiba abadirike aache kuona mziki kama mazoea
Tommy ni mkali tangu hajaingia kwa kibaLeo ndo umemjua tommy? tulieni Dawa Iwaingie Acheni kupiga Ramli. Kwamba wewe una Akili kumzidi Tommy aliyeamua kua chini ya kings Music,.
Tulieni Kings Music Wanakuja kivingine Ni mawe Juu ya mawe, hit baada ya hit
Kabisa mkuuKiba mwenyewe kushindwa kujimanage atawezaje kummanage mtu mwingine.
Wasanii wa bongo wajitafutie managers ambao sio wasanii ndo watakuwa stable
Nimesema ni maoniNadhani ni mtu mzima usimchagulie maamuzi kwenda kwa kiba yeye ndio kaona sahihi kwake
Uliwai kumzungumzia popote kuhusu ukali wake? Tommy hajawai kuwa kwenye Level hii aliyopo sasa, sana alikua kajikita kwenye Uhadishi..Tommy ni mkali tangu hajaingia kwa kiba
Mmekalilishwa ka msemo ka kushindwa kujimanage basi mnakaropoka kama watoto wanaokalilishwa nenoKabisa mkuu
Kuwa chini ya mtu aliyeshindwa kujimanage mwenyewe ni tatizo
Kiba mwenyewe hajatoka, halafu msanii ukae chini yake unategemea nn?Leo ndo umemjua tommy? tulieni Dawa Iwaingie Acheni kupiga Ramli. Kwamba wewe una Akili kumzidi Tommy aliyeamua kua chini ya kings Music,.
Tulieni Kings Music Wanakuja kivingine Ni mawe Juu ya mawe, hit baada ya hit
Apendi shoo ofu ndo mana apost mara kwa mara!Huyo boss wake tangu apost inavyotoka kaingia mitini, Kiba abadirike aache kuona mziki kama mazoea
Ali kiba ni msanii mzuri akiacha
1. Dharau
2. Majivuno
3. Kujiona anajua na kujifanya hapendi show of
4. Kubadilika kulingana na nyakati
5. Kuacha kujijaza upepo kuwa yeye ni king wakati yeye siyo baba ake nandy (princess [emoji3] just kidding)
6. Akishirikishwa afanye kweli (katika nyimbo mbovu ambazo hakufanya cha maana ni NAI NAI ya dimpoz zaidi ya kuipaisha kwa jina)
7. Atafute management iliyokaa kibiashara.
8. Asitafute mchawi maana anajiroga mwenyewe.
9. Ajifunze kujibu maswali kwenye interview.
10. Kusikiliza ushauri na kuacha bifu zisizona maana. Akumbuke tu kuna mwenzie Bob junyo[emoji3] walianza kugombania urais na diamond enzi za kikwete, ati wao ni marais wa wasafi. Nikajiuliza mbona hata mimi ni msafi na sijawahi kushiriki uchaguzi? Leo hii hata sijui mheshimiwa ndugu Jr yuko wapi.
Team king kiba na wenye baba yao msinipige mawe.