Tomato za uswahilini

Kalila

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
245
58
Hivi jamani hizi tomato zinazowekwa kwenye vidumu huku uswahilini then hazina brand yoyote zinatengenezwa na nini na pia ni salama kwa mlaji kweli TFDA sijawasikia
 

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,878
1,310
Hizo ni nyanya zilizooza wanazisaga na kuweka kwenye chupa,
pole kwa watumiaji.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom