Watu hawazeeki kabisa
Bongo tunazeeshwa na vumbi tu
mkuu hata haya maji tunayotumia wenzetu wanafanya recycling maji ya mavi nayo yanasaidia sisi maji ya mvua na visima bora hata ukioga maji ya mbele huko utatakata
Hawa watu wakipata hela wanazidi kuwa vijana
Sijaelewa maji ya kinyesi ndio wanakunywa wao au??