Toll number How it works

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,626
Reaction score
9,726
Wakuu mambo vipi ivi hizi toll numbers zinafanyaje kazi na mana ni bure kupiga simu kwa hizi namba je kama nina kampuni na nataka kupata izo namba nazipataje?
Gharama zake je
 
Wakuu mambo vipi ivi hizi toll numbers zinafanyaje kazi na mana ni bure kupiga simu kwa hizi namba je kama nina kampuni na nataka kupata izo namba nazipataje?
Gharama zake je
Hii unachajiwa wewe unayepigiwa.
Mteja akikupigia hachaji chochote.
Kwa Bongo nadhani Voda wanayo.kuna jamaa aliunganisha hii huduma ila sina details kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…