Toleo la Pop 7 linapatikana sasa nchi nzima

Toleo la Pop 7 linapatikana sasa nchi nzima

TECNO Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
192
Reaction score
217
Baada ya uvumi wa mda mrefu sasa Kampuni ya TECNO tume wafikishia wateja wetu toleo letu la POP 7. Hivyo basi kwa Watanzania wote ambao wanataka kumiliki simu kali ya kijanja kwa bei poa kapisa tunasema POP 7 ndo mkombozi wa bajeti zao.​

Toleo hili la POP 7 sasa linapatikana nchi nzima kwenye maduka yetu yote. Hivyo basi kwa yule mpendwa wako anaetaka kumiliki simu janja (smartphone) kwa mara ya kwanza unaweza kumwambia POP 7 inapatikana nchi nzima.

Simu hii imekuja na sifa bora zaidi katika mtiririko wa POP. Na ndio maana tumekuja na Slogan inayosema ‘’Amini katika Ubora’’ maana mabadiliko makubwa yamefanyika katika POP 7.

WhatsApp Image 2023-01-05 at 11.08.47.jpeg

STORAGE
Storage ndo mpango mzima kwenye toleo hili la POP 7 maana toleo hili lina uwezo wa RAM ya 4GB ambayo unaweza kuiongezea 3GB (Memory Fusion) mpaka kufika 7GB RAM. Na ina uhifadhi wa kawaida ROM ya 32GB & 64GB.

WhatsApp Image 2023-01-05 at 11.08.47 (2).jpeg

CAMERA
Kwenye upande wa kamera POP 7 imekuja na camera nzuri ambayo kwa mtumiaji wa simu hii anaweza kuchukua kumbukumbu nzuri azitakazo. Kamera ya mbele ikiwa na 5MP na kamera ya nyuma ikiwa na 13MP + QVGA with Dual Flash.

BATTERY
Simu hii ina betri lenye uwezo mkubwa sana wa kutunza chaji ambalo lina 5000mAh hivyo basi litamuwezesha mtumiaji kutumia simu yake kwa muda mrefu bila kupata usumbufu wa chaji. Lakini pia jambo zuri ni kwamba toleo hili litakuwa linatumia chaji za Type ‘C’.

WhatsApp Image 2023-01-05 at 11.08.47 (4).jpeg

DISPLAY
POP 7 ina kioo kipana chenye inchi 6.6 HD ambacho umuwezesha mtumiaji kutumia na kuangalia taarifa mbalimbali vizuri bila shida yoyote.

SECURITY
Sasa utapata ulinzi bora kabisa kwenye toleo la POP 7 maana limekuja na njia mbili nufaika, ambapo mtumiaji utaweza kufungua simu yako kwa na njia ya Uso (Face Unclock) au kwa alama ya kidole kwa nyuma (Fingerprint). Fungua simu yako kwa haraka zaidi kwa kutumia toleo la POP 7.

WhatsApp Image 2023-01-05 at 11.08.47 (3).jpeg

TECNO POP 7 Pro kwa sasa inapatikana kwenye maduka yetu kwa shilingi 250,000/= tu za Kitanzania. Tunasema PESA KIDOGO UBORA ZAIDI.

Kwa maelezo zaidi piga namba; 0744 545 254 au 0678 035 208.​
 
I'm sure una watu wako wa karibu na ndugu wanatumia simu za tecno. Sasa unaposema hawana akili ni unakua unazingua. Punguza ujuaji
Mkuu kama na wewe unatumia pia utakuwa huna akili, sisemi kwa chuki ila nilikuwa mtumiaji mkubwa wa tecno hasa hizo pop series, zina majanga sana hazina performance yoyote ya maana. Hiyo pesa ni bora uweke kwenye kibubu iongezeke ununue simu ya maana angalau oppo matoleo ya nyuma kuliko huo ujinga wa tecno.
 
Hv oppo nayo ni brand au taka taka tuu , brand za China umefeli Sana angalau Huawei na MI na sio hzo Oppo ndugu yake na infinix
 
Simu za wamasai wa Kilosa, walimu na manesi. Mtu mwenye akili bora asiwe na simu kabisa kuliko kuwa na mfano wa simu.
Mkuu kama na wewe unatumia pia utakuwa huna akili, sisemi kwa chuki ila nilikuwa mtumiaji mkubwa wa tecno hasa hizo pop series, zina majanga sana hazina performance yoyote ya maana. Hiyo pesa ni bora uweke kwenye kibubu iongezeke ununue simu ya maana angalau oppo matoleo ya nyuma kuliko huo ujinga wa tecno.
Habari Boss!
Toleo hili la POP 7 limekimbizana na techinologia ya kisasa na ubora mkubwa sana kwenye matoleo yote ya POP ndo maana kama umesoma vizuri tumesema POP 7 ndo th best in quality na kila kitu kulipo POP nyingine zilizo pita.Jaribu ladha mpya ya POP 7 uwone
 
Back
Top Bottom