Majengo kama haya sipandi.
Mwisho wangu huwa ni ghorofa ya tatu tu. Sijaelewa ni kwanini lakini hata iweje miguu haikubali kuendelea.
Hapo ni mwendo wa lift mkuu!
Yap. Najua ni lift, ila kwangu ghorofa ya tatu mwisho. Nilishajaribu, ilikuwa ghorofa 15 tu na tulikuwa na semina on top kule. Aisee, Kichwa kilikuwa kama kinataka kuanguka halafu nikitembea ni kama mtu aliyevaa miwani meusi/ya giza kwa mara ya kwanza au usiku- unakuwa unaruka ruka hivi.
Majengo kama haya sipandi.
Mwisho wangu huwa ni ghorofa ya tatu tu. Sijaelewa ni kwanini lakini hata iweje miguu haikubali kuendelea.
Mkuu , you have acrophobia. Fear of heights. Watu wengi wanaogopa kupanda ngazi kwenda juu sana au lift.
Utapata tabu ukija Japan. Ghorofa ni nyingi kutokana na uhaba wa ardhi. Pia, mtetemeko wa ardhi ni karibu kila siku.