Tokea nimeoa kina dada wananitaka

Eiyar umeandka mawazo yakiprofessa....hyo ndio sir ya mwanamke.
 

mkuu kutongoza mbona ni kitu cha kawaida. sometimes tukitongoza hatumaanishi huwa tunapima kima cha maji.
 
Ukioa unaacha kuwa 'boy' unakuwa 'man' ndo tunachotaka. Sura inabadilika unakuwa na confidence kwa kuwa umeshaweza kumpata mmoja wa ubakika. Hicho ndo kinapendwa. Mtu anaejua anachofanya sio fumbling.
 
hamna mkuu sio mtu wa aina hiyo kabisa! halafu hata hao wanawake niliowatokea hawajui kabisa.

Hawatabiliki hao.... Wala huwezi mtambua kwa haraka. Wamejaliwa kuona mambo kwa mapana (sio kwa marefu) na wanaweza kutunza siri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…