Tokea nimeoa kina dada wananitaka

Mkuu MeinKempf , sijui kama unapendezwa na hiyo picha ulioipost hapo, sio busara kupost picha kama hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Huyu kaka alikuwa nchafu sasa hiv mkewe anamtunza ndio uzur wake unaonekana
 
hiyo point ya 'kuweza'ni ya msingi zaidi,na ikatokea mke akawa mjamzito,wanawake watamuona ni noma zaidi na kuzidisha hamu ya kutaka do nae at least once ili aweze enjoy kama anavyodhani kwamba mkewe do enjoy.wanawake huwa hawapendi wanaume ambao hawana uzoefu kwenye hayo mambo, umejitahidi kuwaelewa hao viumbe.
 
Last edited by a moderator:
Labda mkeo anasimulia madini yako
 
"habari zenu wakuu,

hii kitu inanishangaza sana maana kabla sijaoa wadada walikuwa hawataki mazoea na mimi kabisa ila sasa tokea nioe tena ndoa yenyewe hata mwezi haujaisha kina dada wanaanza kujigonga wengine wameshaanza kunitumia text zisizoeleweka na mapenzi.

wengine wanajua kabisa kuwa nimeoa hivi karibuni. nikajaribu kuwatongoza ila cha ajabu hawajakataa!

hivi nyie kina dada huwa mnatupenda sana wanaume ambao tumeshaoa?au wanaume tulio kwenye ndoa tunawazidi nini wanaume wengine wasiokuwa kwenye ndoa mpaka mnajidhalilisha hivi?"

Na we ni mkali... Hata mwezi bado umepata guts za kutongooza tena sio mara moja? Maana kama hawajakataa umepiga kazi mkuu. Mkeo ana shida!!!
 
Mwenyenacho siku zote anaongezewa, na huwezi kupata kitu kama huna kitu, zamani walikuwa hawakutaki sababu ulikuwa huna mke.
Swala jingine ni harufu ya K, mwanaume akiwa anaingia kati kati ya mapaja ya mwanamke angalau mara 3 kwa wiki huwa anakuwa na hararu ya K ambayo huwavutia sana watu wa kike. Ndiyo maana mtu akiwa kitombi sana wao ndiyo wanamtaka zaidi.
 
Ni kawaida kwamba wanawake wana asili ya wivu. Hii ni kwamba wana wivu na mkeo ba huenda mlengwa siyo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…