Huku ndiko aliko?Habari zenu Wakuu,
Huyu mwanamke nadhani anataka kunipanda kichwani sasa, nimemwambia naomba uniletee Laptop yangu amenijibu "Toka zako usinichezee akili kabisa".
Uvumilivu umenishinda Wakuu, huyu mwanamke leo anaenda kwao na hatorudi tena hapa kwang (NIMECHOKA).
Mwanamke gani ambae hasemi kinachomsumbua, yani yeye ni kunijibu hovyo tu na kosa langu silijui.
Laptop kweli unayo au unamzingua π unataka ainuke uangalie tu msambwanda unavyo wiggleMkuu ni kweli nimemtuma ila kanijibu hivyo.