Toka Songea hadi Mbinga ni uroda tu, wamarekani hoyee!

Toka Songea hadi Mbinga ni uroda tu, wamarekani hoyee!

MCC washafunga ofisi....tutaisoma namba!
 
hongereni wasalimie akina Mapunda,Komba,Kunguru,Ngonyani,Simba na wengine.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
hiyo ilikuwa kama july,kweli kusini kuchelee, Mbinga ni moja ya wilaya zilizoendelea sana. Kahawa,mahindi,maharage,makaa ya mawe,mbao ni baadhi tu ya vyanzo vya mapato.
20160707_123230.jpg
 
Kwani "Uroda" ina maana gani? Rekebisha title Mkuu. Naona kama lina maana Karibu Sawa na ID yako.

Binafsi,Heading pamoja na kutofautiana kwa maelezo kumenishangaza mno.Neno "Uroda" na jinsi lilivyotumika ni tofauti kabisa.

Tumejengwa katika mfumo wa Kutengenezewa heading tofauti na habari,Unless otherwise huwezi kuuza maandishi yako.
Magazeti yote nchini hufanya hivyo,Na bila hivyo hulala njaa.

Sishangai sana,Heading zote zenye "Ukakasi" ndizo zenye viewers wengi pamoja na replies JF!!
 
hakuna tofauti ya heading na maelezo, na wala hakuna heading yenye ukakasi hapo. tatizo lako ni uelewa wako mdogo
 
Jk the best president of all times, big up kwake
 
ungeweka na picha wengine akina tomaso
 
Nilianza safari yangu kutoka Mwanza kuelekea Mbinga kwa raha mustarehe ila nikijua huko mbele kuna tabu kwelikweli sababu ya barabara mbovu kutoka njia panda ya Peramiho hadi Mbinga, lakini nilichokikuta ni uroda! yaani ni barabara ya lami safi sana toka pale Peramiho hadi Mbinga.

Ni barabara ya kiwango kwa kweli make pia kuna sehemu barabara imechongwa ikawa chini zaidi kiasi cha kutengeneza ukuta mrefu ambapo mtu hawezi kupanda kutoka barabarani kwenda kwenye makazi, lakini hawa jamaa wametengeneza ngazi ambapo watu wanapanda kiulaini tu. Duh niliposoma vibao pembeni kumbe ile barabara nzuri tumejengewa na watu wa Marekani.

Hongerani sana wamarekani sisi wamatengo tunawapenda mno.
Mbona mnawatukana eti hamna haja ya misaada!
 
Marekani wanachukua Ureniam nyinyi mmejengewa lami.safisanaa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom