toka nimwambie mie ni bikira mmmh!

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
kuna jamaa mmoja nmekuwa nae kwa muda mrefu, ingawa ni kind of long distance relationship ivi. amekuwa akitaka tudo mara kwa mara ila nmemkatalia. cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still a virgin na ndo mana ni mwoga. basi toka cku iyo cmwelew mana cku iliyofuata tuu aliniletea engagement ring "nliikubali mana i waz on shock", ananipigia cm mara kwa mara ckuizi more than b4 n he real spy on me kumake sure ctembei na m2. sasa swali linakuja "JE ANANIPENDA KWELI AU NDO ANATAKA ANICHAKACHUE?"
 
Kama umeweza kuvumilia bora usubiri mpaka uolewe. mwombe Mungu akupe busara na hekima ili usiingie majaribuni na ajaribu kutulia na kumpima kama kweli ana nia kweli ya kukuoa.

Hiyo bikira imevutia aidha anataka kuitoa yeye au kukuoa na kuitoa....
 
Yawezekana mwanzo kabla hajajua alitaka kuplay tu c unajua lakini alipoona kuna ngozi akabadili mawazo, sasa anataka jumla kwa nia nzuri tu. Kumbuka wengi wetu tunaamini ukipata mwenye ngozi atakuwa mwaminifu. Angalizo: Hapa shirikisha sala kwa nguvu zako zote.
 
Kama unamuona ni mtu anayefaa kuitwa mume, na unadhani yupo katika wakati ambao anaweza kuoa, mwambie afanye utaratibu mfunge ndoa.
Au kama anaonesha nia ya kuwa na malengo hayo, lakini kwa sasa bado ajafikia uamuzi huo, usimlazimishe.

Ila kuwa makini, tuliza moyo, jilinde zaidi na zaidi, epuka vishawishi na mazingira yatakayokupelekea wewe kuingia kwene mtego wa kufanya mapenzi. Aisee hawa ndugu zetu wanaume wamepewa akili ya tofauti sana juu ya wanawake, hayo yote anayoyafanya kwa juhudi na maarifa yote, yawezekana ni janja tu, kama ile ya kumkamata kuku kwa kumrushia punje za mahindi au mchele.

Sasa we fikiria kabla hujamwambia hivo mbona alikuwa hafanyi hayo??
Angalia bwana yawezekana mtu hakupendi anapenda "Virgin" na ikishaondoka/akishaitoa ujue imekula kwako.

Mmmmm, bora usingemwambia hivo, lakini angalia, huwa wana maneno mazuri sana hawa ya ulaghai.
 
Kama umeweza kuvumilia bora usubiri mpaka uolewe. mwombe Mungu akupe busara na hekima ili usiingie majaribuni na ajaribu kutulia na kumpima kama kweli ana nia kweli ya kukuoa.

Hiyo bikira imevutia aidha anataka kuitoa yeye au kukuoa na kuitoa....

amina!
 
ushauri wangu,kama anakupenda kweli atakulinda na kukulinda kwake ni kuhakikisha hatashiriki na wewe katika tendo la ndoa hadi mtakapofunga pingu za maisha yaani kufunga ndoa.katika hilo nakushauri kuwa makini sana,wanaume ni wajanja sana akiona ameshindwa kulipata penzi lako ataanza kukushawishi uanze kunywa pombe ili akupate kirahisi ukilewa.kuna mfano hai ulishatokea kwani kuna jamaa mmoja alifanya mchezo huohuo kwa kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake,kapeleka mahari kwao na kutambulishana,lakini jamaa alibembeleza penzi muda wote bila ya kupewa na mpenzi wake alimwambia kuwa ni bikra ndo kuzidisha makeke ya mapenzi ya kweli maskini mwanamke alikuwa hajui hili wala lile,siku ya siku harusi ikatangazwa makanisani jamaa akamwambia dia hadi hapa huniamini wakati tumeshatangaza ndoa kanisani?mwanamke akasema nakuamini dia naomba basi tujaribu penzi,kile kitendo cha kusema vile jamaa siku hiyo alikunywa pombe akijua leo anaenda kupata penzi,kweli siku hiyo alipewa penzi na alimbikiri mtoto wa watu cha kushangaza tokea siku hiyo hakurudi tena na hakuna cha harusi wala mama yake harusi,msichana amepata mimba na sasa analea mtoto wake kwa wazazi wake binti wala jamaa hajulikani aliko.tahadhari kuwa makini na mpenzi wako,
 
kuna jamaa mmoja nmekuwa nae kwa muda mrefu, ingawa ni kind of long distance relationship ivi. amekuwa akitaka tudo mara kwa mara ila nmemkatalia. cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still a virgin na ndo mana ni mwoga. basi toka cku iyo cmwelew mana cku iliyofuata tuu aliniletea engagement ring "nliikubali mana i waz on shock", ananipigia cm mara kwa mara ckuizi more than b4 n he real spy on me kumake sure ctembei na m2. sasa swali linakuja "JE ANANIPENDA KWELI AU NDO ANATAKA ANICHAKACHUE?"

Kweli wakati mwingine bora kutokusema,
Halafu kwa bahati mbaya angalia lugha uliotumia hapo, "cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still a virgin na ndo mana ni mwoga. "

Kwa maana ingine ku do unataka lakini unaogopa kwa sababu wewe ni "Virgin", hicho ndio kikwazo??
Kama maana yako halisi haikuwa hii, jitaidi kushinda mitego yake.

Lakini kama maana yake ni sawa sawa na ulivyoandika, nadhani atakusaidia tu, kukitoa hicho kikwazo ili usiogope tena.
 
kuna jamaa mmoja nmekuwa nae kwa muda mrefu, ingawa ni kind of long distance relationship ivi. amekuwa akitaka tudo mara kwa mara ila nmemkatalia. cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still a virgin na ndo mana ni mwoga. basi toka cku iyo cmwelew mana cku iliyofuata tuu aliniletea engagement ring "nliikubali mana i waz on shock", ananipigia cm mara kwa mara ckuizi more than b4 n he real spy on me kumake sure ctembei na m2. sasa swali linakuja "JE ANANIPENDA KWELI AU NDO ANATAKA ANICHAKACHUE?"

tutaaminije kama kweli ww ni bikira manake wanawake wengi sio wote huwa wanapenda kuwazungusha wanaume na kujidai wao mabikira kumbe siku wakipeana unakuta bahari kabisa ndo hapo kijana anatoka nduki na anakuchunia kabisa hata kama alikuwa na nia ya kukuoa atagundua uwongo wako usiosameheka.Ila kama kweli ww ni bikira basi mpe mola sifa na hiyo ilipaswa kuwa siri yako hadi siku ya ndoa mumeo agundue mwenyewe.Hapo angekupenda na kukuheshimu daima.
 
kuna jamaa mmoja nmekuwa nae kwa muda mrefu, ingawa ni kind of long distance relationship ivi. amekuwa akitaka tudo mara kwa mara ila nmemkatalia. cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still a virgin na ndo mana ni mwoga. basi toka cku iyo cmwelew mana cku iliyofuata tuu aliniletea engagement ring "nliikubali mana i waz on shock", ananipigia cm mara kwa mara ckuizi more than b4 n he real spy on me kumake sure ctembei na m2. sasa swali linakuja "JE ANANIPENDA KWELI AU NDO ANATAKA ANICHAKACHUE?"

Kama ni virgin , fanya kama wanavyofanya merekani, pigisha mnada hapa JF, watu watapanda dau. Utatoka kuliko mahari, na ni siku moja tu, kuliko kuliwa bure, oooh , mapenzi sijui nini? wacha mafisadi tupande dau! Tumo wengi hapa JF.
 
NO! cwez fanya tht b,ness. thaman ya mwanadamu ni kubwa zaid ya hela!
 
Kama unamuona ni mtu anayefaa kuitwa mume, na unadhani yupo katika wakati ambao anaweza kuoa, mwambie afanye utaratibu mfunge ndoa.
Au kama anaonesha nia ya kuwa na malengo hayo, lakini kwa sasa bado ajafikia uamuzi huo, usimlazimishe.

Ila kuwa makini, tuliza moyo, jilinde zaidi na zaidi, epuka vishawishi na mazingira yatakayokupelekea wewe kuingia kwene mtego wa kufanya mapenzi. Aisee hawa ndugu zetu wanaume wamepewa akili ya tofauti sana juu ya wanawake, hayo yote anayoyafanya kwa juhudi na maarifa yote, yawezekana ni janja tu, kama ile ya kumkamata kuku kwa kumrushia punje za mahindi au mchele.

Sasa we fikiria kabla hujamwambia hivo mbona alikuwa hafanyi hayo??
Angalia bwana yawezekana mtu hakupendi anapenda "Virgin" na ikishaondoka/akishaitoa ujue imekula kwako.

Mmmmm, bora usingemwambia hivo, lakini angalia, huwa wana maneno mazuri sana hawa ya ulaghai.

LD,haya maneno huwa maalum kwa viumbe nyie and not else,unadhan nani ataambiwa,nani atafanyiwa carenes?its you females,olways wanaume hawadangany,ila HULAZMISHWA KUDANGANYA NA WANAWAKE,BT HUWA NI UWONGO WA KUJENGA
 
Sasa hizo spidi baada ya kusikia bikira,anapenda mke au hiyo bikra yako?
Kama anakupenda kweli wala hatachakachua,atasubiri ndoa ila kama anapenda Bikra akiitoa tu ataona kasoro zingine ambazo kwa sasa hazioni anaona bikira tu!
Take care Misorgenes!
 
Back
Top Bottom