toka nimwambie mie ni bikira mmmh!

Hiyo bikra kweli unayo au ndo kuuza sura tu jukwaani hapa?
Una uhakika ipo na nani alikupima na akaiona?

ni maana ya bikira? unajua lakini? bikira ni mke/mume ambaye hajawahi kukutana kimapenzi na mtu wa jinsia nyingine. kukutana kwa njia ya uke kuunganishwa na ume. ila kwa dunia ya leo tunaweza sema maana nyingi mana kunamaambo ya kila aina yanafanyika. MY POINT is im still a virgin kwa maana inayotambulika.
 
ngoja niwaambie siri ya wasichana kama mie siku izi, wapo ila tatizo ni moja hawaonekani na wengi hawasemi mana wataonekana wanadanganya, afu kitu kingine ni wakawaida sana kias akikwambia huwez amini. na ukiangalia kiundani ni wale watoto waliolelewa katika mazingira ya kawaida sana " sio geti kali wala wahuni". wanakuwa wakijua faida na madhara ya kila kitu na wazazi ndio washauri wetu wakaribu sana.
 
Kama ni birira kweli bai usikilize moyo wako huyu pengine amefurahishwa na kuona kuwa bado u virgin na kaona ni vema akakuoa, we kama uko tayari kuolewa basi endelea kujitunza na kama unampenda kama mchumba badaye mume basi kubali lakini usiruhusu akuingilie atakuchoka na kukuchakachua tu hafu upigwe kibuti!
 
Njema mama kwema lakini?
Huyo anatangaza nia ya kuoa hapo anataka amege alafu aaangalie je kitu used au new
ndio zenu bana, afadhali angeichakachua mapema kama mie asingekuwa na pbna shel tym hii!
 
haja2elewesha vizuri hiyo bikira anayo moja au zote mbili? coz akinadada w cku hz unakuta bikra ila huko kw robo sh. kw sekunde kwishnea!
 
mmmmh mweeeeeeee. Kumbe bado zipo tu, mi niliwahi kusikia kuwa zilishaisha..duh...
 
aaaaaaaaaah anakupendea nini sasa? manake hata ufundi kwenye majamboz utakua bikra vile vile

anataka kuweka historia ya kutoa bikra tu.. then akumwage
 
mmmmh mweeeeeeee. Kumbe bado zipo tu, mi niliwahi kusikia kuwa zilishaisha..duh...

Wazee wa Busara kama wewe huwa mnachelewea wapi bana??? Hebu nenda kule eti ukiolewa bila bikra wewe malaya?? Bikira zitoke wapiii
 
kuna jamaa mmoja nmekuwa nae kwa muda mrefu, ingawa ni kind of long distance relationship ivi. amekuwa akitaka tudo mara kwa mara ila nmemkatalia. cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still a virgin na ndo mana ni mwoga. basi toka cku iyo cmwelew mana cku iliyofuata tuu aliniletea engagement ring "nliikubali mana i waz on shock", ananipigia cm mara kwa mara ckuizi more than b4 n he real spy on me kumake sure ctembei na m2. sasa swali linakuja "JE ANANIPENDA KWELI AU NDO ANATAKA ANICHAKACHUE?"

Kwani unayo! au unamtishiatu maana watoto wasikuhizi wanaipoteza darasa la nne; nauajua kama unayo Bikira na kutokutembea na mwanaume ni vitu viwili tofauti kabisa
 
hata humu jamvini kuna mens ambao washagonga wanawake kibao lkn hawajabahatika kukutana na hiyo kitu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom