Toka nifike kwa kaka shemeji yangu nahisi anamuendesha kaka (Bushoke)

Pumbavu nyie ndo ndugu vichomi kumfulia mkewe chupi imekuuma kwani iyo kifunikwa chupi anakitumiaga nani
Rudi kwenu kama unataka ata kaka ako aendelee kukusalimia

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Wakuu sio poa kabisa kaka hatendewi Haki yani wikiend hii nimeona kwa Macho yangu anafua nguo za shemeji hadi za ndani..

Naombeni ushauri nifanyaje? Ili kumuokoa brother na huu mtego?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mu-AR shemeji yako kisha umwambie asiendelee kumdhalilisha kaka yako, na kaka yako mwambie umemla 0713 mkewe kwa vile mkewe hamtendei sawa!!

kutoka: 22D Arnold st.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom