Toka mtandoani : umri wa Michael Jackson

NDIO
 
Mimi naona umaarufu Ni juhudi ya Mtu binafsi
Yaani ukakae tu halafu uchawi ukupe umaarufu inakuja kweli!?
siwajui hao freemasons wanajihusisha na nini hasa ila hizi story za watu kusema freemasons ndio wanawainua watu hazina ukweli....kwanini watu maarufu tu na wenye uwezo binafsi!!!!
 
Kuna kipind huwa nawaza hiv vyote navyotafuta vinathamani gani mbele ya Mungu jibu napata havina thamani kwake.

Napiga goti namshukuru kwa kunipa pumzi na afya njema ila nabaki kujuta kwa kukosa elimu ya dini stahiki.

Hakika hakuna apasae kuabudiwa haki isipokuwa yeye Mwenyezimungu Alie umba mbingu na ardhi na asiefanana na yeyote Yule ulimwenguni

Unaweza ukapanga meng lakini usitimize kwa Yale upendayo na utakayo Bali yeye tu ndie atakae fanya utimize uyapendayo na utakayo.
 
Hivi Nini kilimuua !??
Na hayo Mambo watu waliyajuaje km kweli alitaka iwe hivyo?

Ninavyojua mimi ni kuwa MJ alikuwa anafanya mazoezi sana kwa muziki wake, kwa kuwa alikuwa anachoka sana wapambe wake wakawa wanampa madawa ya kumfanya aendelee kufanya rehearsals kwa sana bila kulala
Isitoshe na umri pia ukiangalia

Nafikiri steroids zilimmaliza jamaa
Daa so sad
Binadamu wana tamaa
 
Tamaa zipi?
 
Kwa hiyo hizo dawa ndio zilizomuua?
 
huo msemo wa "niliwahi sikia au nilisikia" unatumika sana katika simulizi za uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…