Toka amerudi mtazamo wa lugha ya mwili bado hayuko sawa

Wahindi ndugu mpaka atoe kumi ni ukoo mzima ukae
Kweli kabisa mkuu hata waarabu huwa wana asili hiyo, japo si sana kama wahindi.

Niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni moja ya mabasi ya mzee mwarabu maarufu sana pale Tabora, nilichobaini kuna matajiri wanaishi maisha magumu kuliko hata maskini.

Uvaaji na ulaji wa wajukuu wa familia ile inayospend 1.2b kuleta basi moja (higer), unazidiwa na ule wa kijana waliyenilipa 200k per month+ matusi na vitisho vya kila aina...
 
Watumwa Kwenye ubora wao... Umeona kuna wazungu humu?? Asimilia 97% wanatumia kiswahili wewe endelea kujipendekeza kwa wenye lugha upate ajira maana no way baada ya kujua ngeli..maana hadi walevi wanakipiga

I will spare you, for now.

Karibu tujadiliane kistaarabu.
 
nasikia kuna pande kubwa la ardhi huko rufij wamiliki wake walikuwa wanachelewesha kuanza mradi ila shukuru mungu contract na wamisri imesaiiniwa last week stiglers gorge kazi inaanza no vikwazooooo
Pesa Imepatikana ??
 
Kweli hayuko sawa kule maeneo sio pazur hata Roma hakuwa sawa pindi alipoachiwa,kwaiyo ni suala la muda tuu,Mo atakuwa sawa
 
Nafikiri yupo kwenye hatua za kuanza kuhamisha familia kwanza kwa maelezo ya mtu wake wa karibu
 
Waliomteka walikuwa wanania ya kumvunja kisaikolojia na ni kweli wamefanikiwa.. Na inawezekana wamempa masharti fulani asiyavunje. Kwa hiyo hapo alipo bado ni kama mfungwa fulani.
 
Back
Top Bottom