toka 2010 hadi leo bado hakubali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

toka 2010 hadi leo bado hakubali

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MPAMBANAJI.COM, Sep 4, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  huyu ni Hawa mwenye sifaa zote nimejitahidi samwaka jana alikubali,chakushangaza baadae aliingia mitini

  Majuzi kaja tena kwa kasi mie nshaondoa fikra ila anaomba sana nimwelewe

  Hawa huyu sijui alikua anasumbuliwa na woga au double standards..kwa kweli sielewe kwani hata hivyo alikua mbali sana nami

  Je focus yake kweli inaweza kuwa na dhamira ya dhati


  Akina hawa tupeane ushauri pia


  Wenu Adam,
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  pole ukiona ivo ujue washamtenda huko anakuja kujistiri kwako huyo hawa amini nakuambia hana lolote kwanini aliingia mitini stukachkua hatua Je mko wangapi?...
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  alikubali/hakubali nini?

  funguza zaidi mm sijakuelewa...umeandika kama shairi.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  alikokuwa kalamba garasa ndo akagundua wee mzungu wa nne.

  Afu ujue mie ni Joker?
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kama unampenda...msamehe.yaliyopita si ndwele ganga yajayo. Cha msingi fanya uchunguzi kama na yeye anakupenda.epuka kuenenda kwa hisia.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  mmemuona Asprin mitaa hii?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Adam,songa mbele hakuna kuangalia nyuMa mdau,,,,,,,usithubutu
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Adam usirogwe,,,,,,utajuta,,,,,,,kama alikukataa,,,,basi
   
 9. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Achana nae huyo alikueka kiporo sasa huko mambo si mambo amerudi
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Arabela u r rite hii stori inafanana na ishu moja ivi ishawahi kunitokea lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,693
  Trophy Points: 280
  unajua kilichomkuta Adam? ...kama jibu lako ni ndio basi hakikisha Hawa hakai karibu yako kabisa utajutaje!!!
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Hapo hakuna dhamira ana taka kutuliza maumivu yake kwako!
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yaonesha una uzoefu na Maharage ya China!
  Hapo utambue na Maharage ya Kijerumani nayo yapo !
   
 14. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hunie mi maharage gani?
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,981
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  huyo anaye kuumiza kichwa, wenzako wamembwaga chini na uzuri wake. mia
   
 16. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kuna watu kaizer hawawezi kukaa bila kuwa na mtu. Anawaeka wengine foleni akiharibu huko atafuta wakureplace. Dah pole ndugu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  alikuwepo ila kuna mdada kampitia hapa na Vitz sijui wamekwenda maeneo gani mrukie hewani au call rejected??
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  It's impossible quite ! To similarise you may real Mamsap with a bens !
  Haiwezekani ! Wewe u'namna ya pekee!
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  baghah,,,lugha ya picha hiyo baba
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Tafuta mwingine mbona babu Aspirin anao wengi si umuombe mmoja?
   
Loading...